Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani Hadi yanga akicheza na manjestaa anashinda kabisa kiulaini😂😂😂🤣🤣
 
Hivi ni kweli glazer ndo tatizo pale united??

Mbona kama ni hela wamemwaga sana.
Wote hawa tumenunua kwa bei za kutisha.

Maguire

Pogba

Sancho

Shaw

Martinez

Mbona kama ni hela maboss wame mwaga sana pale united maana kazi ya maboss ni kumwaga hela kwa kumwaga hela sisi ni wa pili pale EPL nyuma ya city.

Mimi sioni kama maboss wana tatizo kwenye swala la kumwaga mpunga wametoa hela nyingi sana mpaka tulivunja record ya dunia kwa pogba lakini amna kinacho change.

Tatizo la United linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyoona.

Kwaiyo tujiandae tu ndugu zangu ushabiki ni kupenda kitu hata na kwenye shida sio raha tu.

Tukubali tu saizi tumekuwa kama Everton tu tunashiriki ligi ili tufuzu Uefa tu.
 
Structure ya united unaielewa lakini???
 
Hii pussy hadi Nottingham forest anaitamani asee maana ndio kimaliza ugwadu cha madomo zege wote pale epl
 
😂😂😂😂Nitarudi baadae kidogo
 
Hivi ni kweli glazer ndo tatizo pale united??

Mbona kama ni hela wamemwaga sana.
Wote hawa tumenunua kwa bei za kutisha.

Maguire

Pogba

Sancho

Shaw

Martinez

Mbona kama ni hela maboss wame mwaga sana pale united maana kazi ya maboss ni kumwaga hela kwa kumwaga hela sisi ni wa pili pale EPL nyuma ya city.

Mimi sioni kama maboss wana tatizo kwenye swala la kumwaga mpunga wametoa hela nyingi sana mpaka tulivunja record ya dunia kwa pogba lakini amna kinacho change.

Tatizo la United linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyoona.

Kwaiyo tujiandae tu ndugu zangu ushabiki ni kupenda kitu hata na kwenye shida sio raha tu.

Tukubali tu saizi tumekuwa kama Everton tu tunashiriki ligi ili tufuzu Uefa tu.
Biashara ikishindwa mmiliki ndiyo kashindwa. Yeye anamamlaka ya kushughulika na yeyote anayekwamisha project. Kwa kutilia kwake na kutoa tu vihela haitoshi. Glazers out! Waachie timu.
 
Hivi ni kweli glazer ndo tatizo pale united??

Mbona kama ni hela wamemwaga sana.
Wote hawa tumenunua kwa bei za kutisha.

Maguire

Pogba

Sancho

Shaw

Martinez

Mbona kama ni hela maboss wame mwaga sana pale united maana kazi ya maboss ni kumwaga hela kwa kumwaga hela sisi ni wa pili pale EPL nyuma ya city.

Mimi sioni kama maboss wana tatizo kwenye swala la kumwaga mpunga wametoa hela nyingi sana mpaka tulivunja record ya dunia kwa pogba lakini amna kinacho change.

Tatizo la United linaweza kuwa kubwa kuliko tunavyoona.

Kwaiyo tujiandae tu ndugu zangu ushabiki ni kupenda kitu hata na kwenye shida sio raha tu.

Tukubali tu saizi tumekuwa kama Everton tu tunashiriki ligi ili tufuzu Uefa tu.
Glazers ni moja ya matatizo ya United. Pesa yote unayoona inanunua wachezaji ni pesa inayotokana na mapato ya timu. On top of that Glazers waliinunua United baada ya kuchukua mkopo na deni lake wakalihamishia kwenye timu. Bado wakaona haitoshi wakaiweka Manchester United kwenye soko la hisa la NYSE, miezi michache nyuma walichukua gawio lao wakaweka mfukoni.

Budget inayowekwa kusajili wachezaji ni pesa timu inayotengeneza na siyo uwekezaji wa Glazers hata senti 5. Wao ndiyo wameweka structure za kusajili wachezaji wenye majina au ushawishi mkubwa ili timu ipate mapato zaidi bila kujali timu inafanya nini uwanjani.

Glazers ni tatizo kubwa sana kwa United walinunua timu ikiwa haina deni hata la sh 1. Sasa hivi wameibebesha mzigo wa madeni na bado wanachukua pesa kutoka kwenye timu, bado pia hawataki kununua wachezaji kwa wakati wanapohitajika pamoja na pesa yote timu inayotengeneza timu ni kwasababu mapato mengi wanachukua wao.

Wanavyoiendesha timu hao Glazers tajiri yoyote anaweza kufanya, Manchester United inajiendesha lakini inahitaji mtu mwenye mapenzi na timu, biashara ni sehemu ya football lakini wanachofanya Glazers ni kuitumia United kwa faida zao binafsi.

Maneno ya Mourinho, van Gaal na Rangnick yataishi milele.
 
Back
Top Bottom