MANCHESTER UNITED AKIONGOZA LIGI HATA KWA SEKUNDE TU NIITENI MBWA NIMEKAA PALE [emoji117][emoji117][emoji117]
[emoji16][emoji38][emoji38]Sahv aitwe 9 hag, nyumbu imepgwa miguu ya stuli.
Ten Hag ndiyo anasajili mkuu ?Yaani kwanini ETH asifukuzwe kwa kushindwa kusajili wachezaji?
Solskjaer alikuwa kocha mzuri tu ila alikuwa na kundi la wahuni.Sometimes nahisi Ole gunner sosha aliitaji kuaminiwa kidogo.
Tumuamini Ten Hag hakuna namna hata Liva waliyumba alipo kuja Kloop
[emoji1787][emoji1787]Nasikia mumeliwa utamu Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa hakuwa anaona kabisa udhaifu wa team, yeye alidai kuwa Ronaldo tu ndio anaifanya icheze vibaya[emoji23][emoji23].Wapi ww humu ulikuwa unamsapoti tena kuna siku nliandika hapa list ya wachezaji wakuondolewa man u nikasema de gea shaw na maguaya mkanipiga mdomo ww na chief-mkwawa[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]4-0 mbwa nyie
[emoji38][emoji38][emoji38]De gea aliona maguire kashine sana msimu uliopita kaamua amuige
Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?Ukiwa kocha mkuu wa man utd usionyeshe moyo wenye huruma dhidi ya wachezaji.
- Tyrell malacia amemuacha mbali sana kiubora luke shaw hususan kwenye role ya inverted fullback.
- wiki mbili nyuma nilisema ukiwa na dalot, Maguire, Fred, shaw, rashford na mctominay ndani ya uwanja Kwa wakati mmoja fahamu unajitengenezea mazingira magumu sana ya kiuchezaji. Ni Imani yangu mwalimu amepata funzo Kwa mara nyengine
- David de gea hajazaliwa wala kukulia Spain, anatudanganya
- Tunahitaji mlinzi wa kulia, Tunahitaji midfield wawili akiwemo frenkie de jong na Tunahitaji winga mmoja
- Tutaamka tena kabla ya jogoo kuwika
Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?