Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.

Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.

Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.

Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.

Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.

hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.

Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city

Tuvumilie tu ndo timu yetu.
sio kutegemea kitu ila hata usajili tu hawa watu wanazingua de jong anaeza kwenda chelsea hukubali bado kwamba hawa jamaa wamefeli
 
Na huyu mnaweza kumkosa , bakini na kina MCFRED😂😂😂😂

🚨 Adrien Rabiot's transfer to Manchester United is currently blocked, there is still no agreement between Man United and the player.🇫🇷🔴 #MUFC

(@DiMarzio🌕 via @utdreport)
 
we nadhani umezaliwa na wafira.naji sababu hauwezi muita mwanamme dada, lazima baba ako alishafumuliwa fumuliwa na mashemeji zake, so unadhani kila mwanamme ni kama baba ako.
Unatoa siri za marehemu baba ako
 
Leandro Paredes has full agreement on personal terms with Juventus. He is now waiting for Juventus and Paris Saint-Germain to find an agreement on fee/formula. ️ #Juventus

Negotiations still ongoing, Juve want to sell at least one between Rabiot to Man Utd and then Arthur. https://t.co/IJYaMMucMs
 
Rabiot has been on United’s list all summer and gained Ten Hag’s full support after being proposed by United’s recruitment team.
Maneno ya Laurie whittwell
---------------------
  1. vitinha - euro million 35 amekwenda PSG
  2. bissouma - paundi million 25 amekwenda totteham
  3. paredes - paundi million 15 anakwenda juventus
  4. Konard laimer - paundi million 25 anagombaniwa na Bayern kutoka leipzig
  5. Ibrahim sangare - euro million 30 yupo psv
  6. Douglas Luis - paundi million 15 hadi 35 yupo Aston villa
  7. Ongeza na wa kwako wewe msomaji

Sajili za ten hag inaonekana zimemalizika baada ya kukawama dili la de jong, kifuatacho sasa ni sajili za timu ya wasaka wachezaji. Timu hii ndio iliomchagua wan bissaka katika mabeki 804 waliokuwepo ndani ya database yao.
 
Man United wanaajiri makocha kwajili ya kuwadhalilisha
 
Back
Top Bottom