Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani nipo naangalia game ya Chelsea hapa namwona Koulbary toka Napoli.Ina maana sisi Man u tulishindwa kusajili hili jembe? Shenzi kabisa Man u
Screenshot_20220806-214733.jpg

Mkuu sisi shida kubwasana nin DM a box to box middle tukifanikiwa hapo maisha yatakiwa mepesi
 
Southampton walichokifanya msimu huu ni kuwatajirisha manchester city kwa kuwazawadia takribani paundi millioni 30 za usajili baada ya kuwanunua wachezaji wawili kutoka team B.

msimu uliopita walimaliza ligi wakiwa ni dhaifu hivyo nilitegemea msimu huu wataingia sokoni kwa kusajili wachezaji sahihi Kwa bei sahihi ila imekuwa kinyume chake.

Wasipojiangalia watagombania nafasi ya 17.
Ile nidhamu yao ya ukabaji wa nguvu leo sijaiona.
 
Everton waliepuka kushuka daraja msimu uliopita, wamemuuza richarlison na baadae kusajili mchezaji asiyefikia daraja la mchezaji waliyemuuza.

Wameanza ligi huku safu ya ushambuliaji wakitegemea zaidi miujiza ya bwana mdogo aitwae Gordon na Gray.

Eneo la midfield wanamtegemea doucoure na iwobi na kama haitoshi Bado wameendelea kumshikilia dele Ali.

Pengine wanasubiria Kwa mara nyengine tena muujiza wa kutoshuka daraja.

Wasipokuwa makini watagombania nafasi ya 18.
 
Tupo kwenye phase ya mabadiliko, tumetaka Changes lakini bado mashabiki ni ngumu kukubali changes.

De jong fee yetu imekubaliwa na Barca kama mwezi sasa, kinachoendelea ni Barca hawataki kumlipa mshahara wake wanataka sisi ndio tumlipe,

Kama club yetu imechange kweli inatakiwa tusikubali, hii itasaidia hata kwa baadae timu nyengine zisitake advantage ya "UTD TAX", waache Chelsea walipe, ili tueke statement ya mabadiliko.
sawa mpira biashara mbona barca wanawakati mgumu lakini wanajitahidi kufanya usajili kwa kila namna wanajua bila hivyo hawawezi kushindana na madrid
 
Leo asubuhi na mapema nimeamka zangu kwenda kufanya mazoezi navyozidi kutembea nikawa nasikia kama kelele hivi.

Jinsi navyozidi kusogea nazo zile sauti nazo zilikuwa zina zidi kuwa kubwa maskioni mwangu nikaanza kupata hofu kwamba kuna nini mapema yote hii hata akuja kucha vizuri watu wanalia

Nika bahatika kumuona mzee mmoja hivi analia sana yule mzee nikafika pale nikamuuliza mzee wangu pole kwanza, nataka nataka nijue unalia nini mzee wangu sikuamini jibu alilonipa yule mzee kwamba furahani kubwa pale mtahani mpaka watu wanalia kilio cha furaha.

Ooh ni ilo tu mzee sasa furaha ya nini iyo mzee wangu akanambia kijana we acha tu ile kitu inayo tupaga burudani kila wiki imeludi kwaiyo hapa tunalia vilio vya furaha kijana.

Bado sikukoshwa na lile jibu alilonipa nikamwambia mzee funguka basi Wat's wrong alicho ni jibu sasa.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

prediction

Manchester united 2 Brighton 1

time:10:00
1659511458640.jpg
 
time:10:00 View attachment 2316667
Vilaza Kama wewe mnahitaji kuombewa mpo wengi sana
 
Privately, people at #mufc accept that choosing Aaron Wan-Bissaka from the 804 right backs they scouted was unwise.
[@lauriewhitwell]
😛😛😛

------------------------
Nilipokuwa mjinga niliamini wazungu wote Wana uelewa mkubwa wa mambo.
ulipokuwa mjinga AU ulipokuwa mdogo
 
Hivi ule ubishi wa kipuuzi ronaldo copy (original ni delima) na messi lapulga, uliokua unakuzwa na mashabik wa man u.
Bado upo/unaendelea?

Nikiwarudisha nyuma, moja kati ya sababu mlizokua mnapa cr7

yeye ni jeshi la mtu mmoja
Mbona nyumbani hali ni mbaya hataki kuonesha uo ujeshi wake?

Anacheza team yeyote,
Mbona ataki kubaki hapa hapa sasa. Mbaya zaidi hakuna anayemhangaikia kwa sasa

Anapenda challenge
Niambie sasa, challenge za hapa nyumbani ashazimaliza?

Messi ata sasa hivi akikaa sokoni kuna vilabu vingi sana vitamuhitaji
Akiwepo real Madrid, atletico, timu kubwa zote za EPL
Series A, timu kubwa zote
 
huu ubishi hapa uliishafungwa, labda kama unataka kuurudisha, tumeishakubaliana huyu Ronaldo was sasa hamna kitu.
 
huu ubishi hapa uliishafungwa, labda kama unataka kuurudisha, tumeishakubaliana huyu Ronaldo was sasa hamna kitu.
Tuurudie angalau kwa wiki moja tu mkuu

Ata tukirudi nyuma
Cr7 yule japo alikua vizuri,
Messi acheni aitwe messi, ule uwezo sio wa kawaida katika uso wa dunia

Mlikua mnatuambia cr7 kacheza ligi ngumu EPL
Kwani timu kubwa za EPL hazitambui tabu za messi?
Tukianza na nyumbu wenyewe
 
Rooney: "United wanatakiwa kumuacha Cristiano Ronaldo aondoke. Sio kwasababu Ronaldo hawezi kucheza kwenye timu ya Ten Hag, hapana anaweza kucheza kwenye timu yeyote lakini United bado hawapo tayari kupigania kombe lolote kwa sasa."

Rooney: "Lengo la sasa ni kujenga timu ambayo itaweza kushinda makombe miaka mitatu, minne baadae. United wanatakiwa kusajili No9 ambae atakuwepo hapo kwa miaka michache baadae ambaye atawasaidia kujenga timu." #MUFC

Maneno ya Rooney hayo Ronaldo kwakweli tukienda nae huu msimu tena tutegemehe ya msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom