Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naungana na wewe Mkuu, aliyeiharibu timu ni Ferguson wakifuatiwa na Glazers.
Munamuonea sana babu wa watu, Fergie hajawahi shika position yoyote united toka aondoke UTD, kaipa Timu list ya makocha kibao wazuri wanakaamua wenyewe kuchagua kocha wa 7. Klop mwenyewe anakwambia Woodward alimwambia anataka Atengeneze Disneyland ya Football, akasepa. Kosa la Fergie ni nini?
 
Usijichanganye!
Anaondokaje wakati anang'ang'aniwa.
Kama Ni kudhalilika Ronaldo anadhaliliahwa na hao wanaomng'ang'ania.
Hivyo hao ndo wanaoshusha morale ya Ronaldo,
Wamwache aondoke.
Sio swala la kumlaumu Ronaldo,wakati yeye pia amewekwa kwenye wakati mgumu.!
Nyie wengine tulieni tu, wenye timu wanaamua.
Kuna ofa yoyote imekuja UTD kumtaka Ronaldo?
 
Grazer wametoa pesa nyingi tukanunua wachezaji tusiohitaji ...


Namlaumu Sana aliyemnunuaga mchezaji na kumlipa 500,000 per week.

Nakumbuka alitusumbuaga kumuuzia. It's like umenunua gari bovu na linakunyonyea wese.

Tukanunua wakina demaria, mi Maguire, tukanunua Pogba kiburi...mim niliuliza Ferguson alipomuuza je ni mjinga, Kwann tumemrejesha Ronaldo??

Vilevile ni kosa kumng'anganiza Frankie de jong atakuja kitusumbua
 
Grazer wametoa pesa nyingi tukanunua wachezaji tusiohitaji ...


Namlaumu Sana aliyemnunuaga mchezaji na kumlipa 500,000 per week.

Nakumbuka alitusumbuaga kumuuzia. It's like umenunua gari bovu na linakunyonyea wese.

Tukanunua wakina demaria, mi Maguire, tukanunua Pogba kiburi...mim niliuliza Ferguson alipomuuza je ni mjinga, Kwann tumemrejesha Ronaldo??

Vilevile ni kosa kumng'anganiza Frankie de jong atakuja kitusumbua
Wamenunuliwa makusudi, kwenye Vitabu vya Glazer kwake kombe si lazima, top 4 inatosha, tuingie UCL kila msimu. Wachezaji walionunuliwa na Woodward ni wale ambao wana market, timu inaendeshwa kibiashara zaidi.
 
Mtihani halisi wa Ten Hag.
20220803_143932.jpg
 
Y
Mtihani halisi wa Ten Hag.View attachment 2312965
YOte haya ni majaribio Kwa eth nadhani atamudu tu. Maana heshima ndio kila kitu.

Eth ana majibu na njia ya kupendana na Ronaldo. I am namba ni kutokuwa starter kwenye mechi zote. Na hiyo ni nafasi pekee kuwa discipline watoto wakina wan bissaka.

Yule dogo "aliyeshtakiwa/greenwood" namuombea Sana arejee. Namuona atakuwa mzuri Sana Kwa kocha huyu
 

Tactically kuhusu Ronaldo,

Uzi mzuri sana
Yaani huyu jamaa kamaliza.
Hii itawasaidia wengi sana humu kuelewa kwanini huwa nasema kwamba Ronaldo ndo alisababishwa tufungwe magoli mengi.

1. Nimekuwa natumia neno "collectively", ukijumlisha magoli waliyofunga Cavan, Rashford, Martial and Mjelajela mwaka 20/21 haifikii magoli waliyoyafunga wote hao plus Ronaldo na Sancho 21/22 KWA SABABU YA RONALDO.

2. Kaselfish kale kalimualibia Mjelajela Pozi kwa kumlalamikia eti hampi pasi, Mjelajela was right. Kenyewe tu muda wote wamecheza pamoja kampassia ONCE wakati mjelajela alikapasia SIX TIMES (kwa mujibu wa jamaa).

3. Now evidence kwamba kajamaa kaliisha isha ila kalikuwa kanaforce mambo, tena na hii iwafikie wote wanaodai eti kajamaa kameangushwa na wenzake, haka kajamaa bwana ni hapa Man U ndio kamekuwa na GOALS PER SHOTS RATES NDOGO KATIKA MIAKA MITANO ILIYOISHA.

Nakumbuka wakati kanakuja watu ohooo Goals rate yake ni 1:3 wapiiiiii

4. Kajamaa ni kashetani kabisa, yaani kamtu kamoja kanavuruga morale na performance of an entire attaching force, yaani nikikumbuka vile msimu uliopita Rashford, Mjelajela na Martial walivyojitengezea ka group ka wafunga magoli mengi collectively kwenye ligi alafu eti mpaka Martial akatolewa kwa mkopo haka kajamaa nisije kutana nako gizani

5. Yaani kalipofika Everyone was like supposed to resign from any intention of scoring goals, yaani ni kama vile kufunga ni haki yake ya kuzaliwa, whitish baboon. Magoli yenyewe ni yale ya kuivuta timu kwenda chini badala ya kwenda juu.
 
N
ETH ni kocha mzuri, ila presha kubwa kutoka nje (malegend, media, mashabik vitamuangusha.

Man u ya sasa ingetakiwa ipate kocha mtukutu, mbabe, mwenye misimamo mikali kama CONTE.
Nakubaliana na wewe.

Yaani mchezaji legend kama Phill bsiji na kaka ake wanawakomalia makocha hawan jamaa wananikwra Sana.

Mwalimu anakuwa sio wa wachezaji wake tu lkn hadi waliostaafu. Ni upuuzi Sana. Hadi Kocha mstaafu Fergie ananikera Sana.

Juzi Ferdinand anasema amefurahia Sana zile kanuni za ETH ambapo baadae atakutana na criticism zao.

Natamani aweke msimamo na awaonye awaambie wangeichukua timu waitengeneze wao.

Wachezaji aliosajili juzi walicheza poa sana. Beki ya kushoto Ina feature vzr Sana. Huku Martinez ka display vzr Hadi raha. Aka ziba pengo la beki wengine
 
Bado mengi mnayoongea ni theory.

Eth anaweza akawa muarobaini.

Ferguson alikuwa na tabia flan... Anaangalia timu anayokwenda kucheza nayo inamchukuliaje.

Ana assume
 
ETH ni kocha mzuri, ila presha kubwa kutoka nje (malegend, media, mashabik vitamuangusha.

Man u ya sasa ingetakiwa ipate kocha mtukutu, mbabe, mwenye misimamo mikali kama CONTE.
Contw was the perfect man for United, sikuelewa tulivyozubaa kwa huyu kocha na alikuwa free wakati flani

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom