Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kusema kweli united imeshaisha kabisa ,kufa kifo Cha mende Kama wale malaya wa riverside..Sasa imagine

Forward zao ni

Rashford ---martial---sancho

Martial akiumia mbadal wake et elanga ...

Haka ka timu ukiangalia kwa undani zaidi hakana tofauti na kina Southampton, crystal palace , Burnley....!
 
Kajichekeshe kule wewe uzi wawa gumu uu.
 
Maajabu wachezaji wetu wakiwa timu za taifa huwa wanaperfom vizuri sana.

Ndo maana pamoja na maneno yoote bado naamini ni kazi ya kocha kuwaboost morale,na ikipendezwa aongezewe mtu mmoja ushambuliaji na kiungo mkabaji.

Naona mpaka september 1 atatua Ruben Nevez na sio De jong,ila kule mbele nna wasiwasi hatasajiliwa mtu.
 
Dah mkuu fanya jambo moja la kukushauri kafuteni uzi wenu wa man city kule mje huku tu maana unajitahidi kupiga kelelekule wenzio kimya nakushauri uje tu huku.
Masikini man UTD ,wanaishia kwenye historia amkeni nyie nyumbu timu imeshakufa
 
Allypipi habari yako

No Martial, No Ronaldo (not fit and ready), Man United are in a terrible position to start the new season.
 
Tunaenda kuanza msimu huku tukiwa hatujafanya la maana sana sokoni..Kiungo chetu kiliitaji uwekezaji wa kutosha lakini naona mambo sio kama tulivyotarajia..McFred again??..Eneo la ushambuliaji pia ilibidi tununue straika mwenye njaa,lakini hadi sasa holaa.

MY STARTING XI vs BRIGHTON ALBION

De Gea

Dalot Maguire Martinez Malacia

Fred Eriksen

Sancho Bruno Garnacho

Rashford
Ronaldo hata kama mnamchukia, ndio yupo, toa rashford hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu wachezaji wetu wakiwa timu za taifa huwa wanaperfom vizuri sana.

Ndo maana pamoja na maneno yoote bado naamini ni kazi ya kocha kuwaboost morale,na ikipendezwa aongezewe mtu mmoja ushambuliaji na kiungo mkabaji.

Naona mpaka september 1 atatua Ruben Nevez na sio De jong,ila kule mbele nna wasiwasi hatasajiliwa mtu.
Tusidanganyane mchezaji gani wa timu yetu ana perform kwenye timu ya taifa.
Golin.
De Gea hana namba Spain

Defenders
1 Shaw hana namba ya kudumu.
Wan Bissaka hajawahi kuitwa timu ya taifa.

2. Wan Bissaka hajawahi kuitwa.

3. Diogo Dalot hana namba ya kudumu.

4. Lindelof sawa
5. Maguire maybe
6.Bailly timu yenyewe haina competition.
7.Martinez hata kucheza hajaanza.

Midfielders.
1. Fred safi
2. Anachezeshwa beki
3. Bruno hana namba ya kudumu kikosini na performance yake siyo ya kutisha.

Strikers.
Hakuna ukiondoa Ronaldo.

Hebu tueleze ni mchezaji yupi anayeperform kati ya hao kwenye timu ya taifa?
 
1659723232949.png
 
Taarifa zinadai Barcelona wamekataliwa na La Liga kuwasajili wachezaji wao watano mpaka watakapotunisha zaidi mfuko wao wa fedha.

Wiki hii mtaalamu David ornstein aliripoti ya kwamba Chelsea wamejiingiza rasmi kwenye vita ya kumwania frenkie de jong,

masaa mawili yaliopita muandishi Paul hirst naye amedai ya kwamba endapo frenkie de jong ataondoka Barcelona basi huenda akatua chelsea.

Tokea tuanze kuvumishwa na usajili wa frenkie imeshatimia wiki takribani 12, kumkosa frenkie dhidi ya Chelsea maumivu yake ni makali zaidi kuliko maumivu ya kutahiriwa kwa shoka ya kuchanjia kuni.

Mungu atuepushie kikombe hicho.
 
Timu kubwa kama Manchester United kuwania saini ya mchezaji mmoja kwa wiki 12 bila mafanikio ni aibu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom