Manchester United (Red Devils) | Special Thread

N

Nakubaliana na wewe.

Yaani mchezaji legend kama Phill bsiji na kaka ake wanawakomalia makocha hawan jamaa wananikwra Sana.

Mwalimu anakuwa sio wa wachezaji wake tu lkn hadi waliostaafu. Ni upuuzi Sana. Hadi Kocha mstaafu Fergie ananikera Sana.

Juzi Ferdinand anasema amefurahia Sana zile kanuni za ETH ambapo baadae atakutana na criticism zao.

Natamani aweke msimamo na awaonye awaambie wangeichukua timu waitengeneze wao.

Wachezaji aliosajili juzi walicheza poa sana. Beki ya kushoto Ina feature vzr Sana. Huku Martinez ka display vzr Hadi raha. Aka ziba pengo la beki wengine
huyu cocha anatakiwa kuziba masikio timu class 99
 
Mtateseka sana wajomba

Cr7 anabaki lakini atakua achezi hiz game za Europa

Magwaya as usual ndio anaongoza jahazi, yani tulipoishia ndipo tuna endeleza

Hakuna rangi mtaacha kuiona msimu huu
 
Huyu ronaldo anategemea kucheza ucl mpaka 50s 😀😀😀 wenzake wako mls uko
Ila man u acha waandelee nae ukiachana na mambo yake ya kugawa timu bado naona ni mchezaji atawapatia magoli pale
 
ETH ana dalili zote dressing room itamshinda, alitakiwa aanze na Ronaldo amtimue ,heshima ingejengeka had kwa wengine

Ila hii bembelezana kisa Ronaldo itamcost mapema tu

Hivi haoni kina Pep,Klopp ,Conte ,Arteta wanavyoitawala dressing room?
 
Ronaldo kuanza kudai anataka acheze ucl wakati Ni mmoja ya waliosababisha timu isicheze UCL Ni utovu wa nidhamu

Pale Arsenal Lacazette alianza maneno oho nataka nikacheze UCL , huku Ligi inaendelea , alikula mkeka had Ligi inaisha ,

Auba alikuwa anaamini yeye Ni untouchable ,Ni captain ,anategemewa , akaanza kuleta kibri, alikula mkeka had akaomba avunjiwe mkataba, na malengo yalikuwa apigwe mkeka msimu wote ,Tuone jeuri yake ipo wapi , mwisho akajipeleka Barcelona kupiga magoti wamsajiri.

Sasa Cr7 anawasumbueni ,ataleta mgawanyo kwenye dressing room , ile morari iliyoanza kurudi kwa kina Sancho , rashford ,martial itakufa kabisa

Huyu inatakiwa apigwe bench had msimu unaisha , muone hiyo UCL ataichezea wapi , mshahara alipwe kama kawaida, ila wacheze kina martial na CF mpya hata huyo sesko ,

Yeye awe anashangaa anakula bench tu , ndio atajua hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu
 
Hujaona yy ni WA bench tayari??
 
ETH ana dalili zote dressing room itamshinda, alitakiwa aanze na Ronaldo amtimue ,heshima ingejengeka had kwa wengine

Ila hii bembelezana kisa Ronaldo itamcost mapema tu

Hivi haoni kina Pep,Klopp ,Conte ,Arteta wanavyoitawala dressing room?
Ten hag kashasema atampanga akiwa fit,only fit,sasa kamshindwa vipi hapo??
 
Tunaenda kuanza msimu huku tukiwa hatujafanya la maana sana sokoni..Kiungo chetu kiliitaji uwekezaji wa kutosha lakini naona mambo sio kama tulivyotarajia..McFred again??..Eneo la ushambuliaji pia ilibidi tununue straika mwenye njaa,lakini hadi sasa holaa.

MY STARTING XI vs BRIGHTON ALBION

De Gea

Dalot Maguire Martinez Malacia

Fred Eriksen

Sancho Bruno Garnacho

Rashford
 
Kusema kweli united imeshaisha kabisa ,kufa kifo Cha mende Kama wale malaya wa riverside..Sasa imagine

Forward zao ni

Rashford ---martial---sancho

Martial akiumia mbadal wake et elanga ...

Haka ka timu ukiangalia kwa undani zaidi hakana tofauti na kina Southampton, crystal palace , Burnley....!
 
Kajichekeshe kule wewe uzi wawa gumu uu.
 
Maajabu wachezaji wetu wakiwa timu za taifa huwa wanaperfom vizuri sana.

Ndo maana pamoja na maneno yoote bado naamini ni kazi ya kocha kuwaboost morale,na ikipendezwa aongezewe mtu mmoja ushambuliaji na kiungo mkabaji.

Naona mpaka september 1 atatua Ruben Nevez na sio De jong,ila kule mbele nna wasiwasi hatasajiliwa mtu.
 
Back
Top Bottom