Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,764
Mshike mshike ndege tunduni 😊😊😊 aende hata Porto tuuRonaldo lazima kichwa kiume mwenzake yupo timu ambayo ina uhakika wa kombe kila msimu na ina kikosi ambacho kina nafasi kubwa kubeba UCL.
Messi akitulia kule Ligue 1 ataweka rekodi nyingi sana. Ronaldo anajua mpaka sasa kaingia cha kike kurudi Old Trafford.
New challenge imekuwa challenge kweli halafu anataka kukimbia.![]()


