Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vijana wanatamani kufariki huku 😂😂View attachment 2294737View attachment 2294736
Hawa wachezaji Ten hag anapaswa awaburuze kwelikweli, ni wachovu wa mwili na akili, na awasiwasikilize sababu kila nikisoma comment zao wanamsifu sana kocha na kujipiga piga vifua, maneno yao mengi ni near non sense, awaburuze mwanzo mwisho.

nimeangalia goli la pili mechi ya friendly jana, ni desturi ya magoli tuliyokuwa tukifungwa msimu jana, yaani ni exact weak point yetu, mabaki watatu wote wako chini wanauangalia mpira juu ambako wachezaji wawili wa aston villa wameruka kuufuata.

Degea na kama kawaida haruki.

alafu wanasema wanafuata maelekezo ya cocha, au cocha hajaelekeza namna ya kucheza hiyo mipira.
 
Usitarajie chochote kutoka kwa hawa wachezaji wa Social Media FC aliowakuta EtH hakuna cha maana watafanya. EtH akaze tu mpaka atengeneze timu anayoitaka, ni safari ndefu mpaka kufikia malengo yake.
 
Usitarajie chochote kutoka kwa hawa wachezaji wa Social Media FC aliowakuta EtH hakuna cha maana watafanya. EtH akaze tu mpaka atengeneze timu anayoitaka, ni safari ndefu mpaka kufikia malengo yake.
DeJong inabidi aje mapema mno.
 
Ikitokea tukazingua basi shida siyo kocha. It's either wachezaji wawe inconsistent au board ishindwe kusajili wachezaji anaowataka kochi.
De Jong ni priority aisee. Tunahangaika sana kutoa mpira nyuma kupeleka mbele.
De Jong siyo priority ila tunahangaika kumfanya awe priority.

Kuna wachezaji wengi sana wenye uwezo sawa naye au zaidi yake sokoni lakini hatuwaoni kwa sababu United haina recruitment team nzuri.

Wachezaji wa kufanana na De Jong au zaidi yake ni
1. Marco Verrati
2. Sergej Millinkovic Savic
3. Nicolo Barella
4. Rodrigo DePaul.
 
Inashangaza anang'ang'aniwa mtu mmoja utadhani ni yy pekee ndio anaweza kucheza hiyo nafas
 
Matt Judge was involved in contract negotiations for Lisandro Martinez and Frenkie de Jong, but has been gradually stepping back as he prepares to leave the club
 
During the tour a #mufc player was twice late for meetings. Ten Hag had been planning to use him in a game but dropped him by way of punishment.

He sees tardiness as a symptom of slipping standards and is very clear on what he will and won't accept
 
#mufc face Atletico Madrid on Saturday and Rayo Vallecano on Sunday because Erik ten Hag wanted 2 games the weekend before the start of the league campaign so more players could get 90 minutes in their legs. He's expected to field his strongest team in Oslo.
[@TheAthleticUK]
 
Erik ten Hag's assessment of the #mufc squad was that it is grossly imbalanced, lacking technically astute thinkers and players were way off the conditioning needed to play his high-tempo style
[@MelissaReddy_]
His managerial and technical acumen-ship will be measured by how he handles his knowledge of this reality. Ralf Rangnick obtained similar knowledge and instead of making the best use of it, IT destroyed him, he used this knowledge to act like a TV Pundit.
 
During the tour a #mufc player was twice late for meetings. Ten Hag had been planning to use him in a game but dropped him by way of punishment.

He sees tardiness as a symptom of slipping standards and is very clear on what he will and won't accept
Nyie msifieni tu huyo kiparangoto wenu. Halafu tukutane ligi ikianza..

Kwani ligi haianzi tu?!
 
Ten hag alisema hatosajili wachezaji aghali, inamaana hiyo bei tunayosikia ya DeJong sio aghali? huyu Ten hag awe controlled kwenye hii issue asilete michezo kama ya Ralf Rangnick alafu aje asepe huku anaipaka mbovu management na board.
 
kwani hakuna kiungo mwengine jamaa hataki kuja kama ronaldo wangemruhusu tu asepe wangechukua Scamacca west ham washamchukua
 
Mahela Ya Kumsajili De Jong Bora Wayapeleke Tena Ajax Kwa Yule Antony, Kisha Mvute Milinkovic Savic Kwenye Midfield Maliza Na Huyo Benjamin Sesko Tufunge Usajili.....Kila Siku De Jong De Jong Na Mtu Yupo Tayari Kupunguza Mshahara Wake 50% Na Kama Akikosa Namba Yupo Tayari Pia Hata Kukaa Kipa ili Mradi Abaki Barcelona
 
Barca wako reasonable sana kwenye hii issue, they have a financial crisis to resolve and here is Man UTD ready to make an overpriced payment for a Player they can replace for a quarter the price.

Ten hag could be playing a blame game by pushing for an unlikely deal, it is him who needs to see that bringing De Jong will be a disaster, this De Jong is going to be the next De Maria if ever he joins Man Utd.
Hii ndiyo shida wachezaji anaowapendekeza kocha hamuwataki kwa sababu zenu binafsi ili akipewa second choices akifeli muanze kulaumu tena. Una uhakika gani hao "quarter the price" players siyo the next Di Maria?

Mpaka Barca wanakubali ada ya uhamisho ya De Jong it means wapo tayari kumlipa De Jong, Barca wanaitaka pesa ya United na ili waipate ni lazima wamalizane na De Jong kwanza.

EtH siyo fala kukubali dili liendelee akiwa hana uhakika wa kumpata mchezaji huku ligi ikikaribia kuanza. Kwasababu EtH na FdJ wana mawasiliano tegemea kuna tusiyoyajua nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom