Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,631
- 11,106
Mchezaji anakuwa ghali kama uwezo wake hauendani na price tag yake na thamani ya mchezaji inajumuisha vitu vingi uwezo uwanjani, mkataba n.k. United wana uwezo wa kumnunua mchezaji kama De Jong ndiyo maana wapo tayari kutoa hiyo pesa.Ten hag alisema hatosajili wachezaji aghali, inamaana hiyo bei tunayosikia ya DeJong sio aghali? huyu Ten hag awe controlled kwenye hii issue asilete michezo kama ya Ralf Rangnick alafu aje asepe huku anaipaka mbovu management na board.
Unaposema mchezaji ni ghali kuna mawili aidha ni overpriced au timu haina uwezo wa kumnunua mchezaji wa thamani hiyo. Price valuation zipo wazi na kama mchezaji anakuwa overpriced kuna factors mbalimbali na main factor ni kama club inayouza haipo tayari kumpoteza mchezaji wake inaweka price tag kubwa ili bei isifikiwe kirahisi na kama ikifikiwa ni faida kwao, rejea dili la Nunez kwenda Liverpool ile siyo thamani halisi ya Nunez na hata viongozi wa Benfica walisema wazi ilipokuja offer kutoka Liverpool hawakuamini na hawakuwa na sababu ya kukataa offer hiyo.
Sasa huwezi kusema De Jong ni ghali wakati United ina uwezo wa kulipa ada ya uhamisho pamoja na mshahara wa mchezaji kama De Jong. There's a reason United wanaweza kuwa na mchezaji kama Ronaldo. Club inayopaswa kuona thamani ya De Jong ni ghali ni kama Fulham au Brighton.
