So far kwenye attack tupo nusu ya tunachotaka kukiona, defense na midfield bado yaleyale tu. Maguire na Shaw hawana consistency leo wanaupiga mwingi kesho wanachoma.Vipi timu yenu inacheza vzr ? Maana astonvilla Ni kipimo kizuri, timu nyingi zipo Kariba hiyo hapo epl ukitoa zile top 6




Bado tabu ipo palepale kipindi cha pili Villa walikua bora zaidi kwa kila kitu yaani utafkr walikua wanacheza na lipuli walitawala dimba watakavyo wamekosa ukatili tu golini ila wangeshinda mengi sanaVipi timu yenu inacheza vzr ? Maana astonvilla Ni kipimo kizuri, timu nyingi zipo Kariba hiyo hapo epl ukitoa zile top 6
mZee ana kazi ya ziada.EtH anatuma meseji kwa cr7 kuwa namba itagombaniwa kulingana na form ya mchezaji bila kuangalia jina.
Kama unafstilia pre season huwezi ongea huu utopwix team ina fanya sub zaidi ya 6 then unategemea rhythm iwe ile ile are you seriousWazee wa nne nne ,astonvilla kawatoa kamasi ...
Hii ndio united ninayoijua Mimi Sasa ,mnaongoza goli mbili m apigwa come back ,maisha ni Yale Yale tu ,hata wachezaji ni wale wale ..
![]()
Mbona mlivyotufunga Liverpool mliongeaKama unafstilia pre season huwezi ongea huu utopwix team ina fanya sub zaidi ya 6 then unategemea rhythm iwe ile ile are you serious


Sasa wakuu naona mnalalamika kipindi cha pili tumecheza hovyo sasa palikuwa pana kiungo gani pale wakusema tucheze vizuri kumbuka.
Viungo wote walikuwa wametoka na wale madogo wasingeweza ku perform bila kiungo wakueleweka hata mmoja.
kwaiyo tungezingua kipindi cha kwanza ndo ningeona tatizo.


istoshe kwanza katikati ya gemu mvua kubwa sana ilinyesha hali iliyopelekea hata wachezaji walikua hawaonani vizuri
. Hii ndo Manchester tunayojuaHongera mkuuManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester united 3 vs Aston Villa 1
GGMUView attachment 2300752
Sisi tayari tulishakaguliwa na liverfoolMan u ilitakiwa tuombe friend match na nyie tuwakague mpo vzr
Ilitakiwa mkaguliwe Wakiwa full na nyie full, Sasa wamekuja kuweka kikos Cha kwanza mmeshawapiga 3-0Sisi tayari tulishakaguliwa na liverfool
Usijali sana kesho kutwa tu hapo ligi itaanza, kikubwa muwe wavumilivu kwa matokeo mtakayoyapata.Ilitakiwa mkaguliwe Wakiwa full na nyie full, Sasa wamekuja kuweka kikos Cha kwanza mmeshawapiga 3-0