D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
mkuu hili tulishawahi kulijadili miaka miwili nyuma na nakumbuka kwenye huo mjadala tuliwazungumzia zaidi foden na greenwood kama wachezaji vijana,Mkuu safi sana kwa hili bandiko.
Hebu nipe mtizamo wako kwa kesho ya united chini ya hawa vijana katika eneo la kiungo kwenye mikono salama ya Erik Ten Hag.
1. Savage
2. Hannibal Mejbri
3. James Garner
4. Zidan Iqbal
ukiwa na timu yenye ubora ni rahisi kwa hao wachezaji kuingia kwenye timu kubwa na kufanya vizuri na hilo ndilo jambo kubwa tulilolitabiri litamtokea foden ndani ya manchester city kwa sababu ya wale waliomzunguka ndani ya uwanja.
jana kwenye mahojiano ya kujiandaa na mechi ya leo erik ten hag alijibu swali hilo la wachezaji vijana kama ifuatavyo:
I cannot give all young players the chances they maybe deserve, because we have to construct a team. I see them daily in training, so I get a really good impression from them. We can develop them by good plans.
Not all youngsters have gained minutes, I have to set priorities, but in future they will play an important role I think for building Man United."
kwenye list yako ungelimuongeza kobbie mainoo,
