Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,304
- 46,781
Wtf??..Cristiano Ronaldo has arrived at Carrington with his agent Jorge Mendes for talks about his future at the club
View attachment 2304386
What future?..
Yeye atafute timu aondoke..
Wtf??..Cristiano Ronaldo has arrived at Carrington with his agent Jorge Mendes for talks about his future at the club
View attachment 2304386
Huyu mzee bado anaendesha gari??. Alooo!!!Sir Alex Ferguson has also been pictured arriving at Carrington this morning.
View attachment 2304405
Dingi bado anadrive,saaaafiSir Alex Ferguson has also been pictured arriving at Carrington this morning.
View attachment 2304405
Ni kujitafutia ukoo wa kambale tu, mtoto ndevu mkubwa ndevu. Asepe.Wtf??..
What future?..
Yeye atafute timu aondoke..
Unashangaa kuna WW2 Veteran huko USA 109 Yrs, anaendesha manual.Huyu mzee bado anaendesha gari??. Alooo!!!
Hawa wazee ndio wanatuharibia team.Unashangaa kuna WW2 Veteran huko USA 109 Yrs, anaendesha manual.
Mazoezi yanalipa plus matibabu.
Mimi hua najiuliza Fergie ana kazi gani Carrington?
Point yangu ni kwamba Ten hag alisema hatoentertain big price signing. alikuwa anamaanisha bei gani?£85M ni hela ya kawaida kwenye usajili wa sasa.
Jiulize CR7 alienda Madrid mwaka gani na kwa hela gani?
Msimu ujao hata £100M wataanza zizoea.
what kind of economics is this? manueconomics?Mchezaji anakuwa ghali kama uwezo wake hauendani na price tag yake na thamani ya mchezaji inajumuisha vitu vingi uwezo uwanjani, mkataba n.k. United wana uwezo wa kumnunua mchezaji kama De Jong ndiyo maana wapo tayari kutoa hiyo pesa.
Unaposema mchezaji ni ghali kuna mawili aidha ni overpriced au timu haina uwezo wa kumnunua mchezaji wa thamani hiyo. Price valuation zipo wazi na kama mchezaji anakuwa overpriced kuna factors mbalimbali na main factor ni kama club inayouza haipo tayari kumpoteza mchezaji wake inaweka price tag kubwa ili bei isifikiwe kirahisi na kama ikifikiwa ni faida kwao, rejea dili la Nunez kwenda Liverpool ile siyo thamani halisi ya Nunez na hata viongozi wa Benfica walisema wazi ilipokuja offer kutoka Liverpool hawakuamini na hawakuwa na sababu ya kukataa offer hiyo.
Sasa huwezi kusema De Jong ni ghali wakati United ina uwezo wa kulipa ada ya uhamisho pamoja na mshahara wa mchezaji kama De Jong. There's a reason United wanaweza kuwa na mchezaji kama Ronaldo. Club inayopaswa kuona thamani ya De Jong ni ghali ni kama Fulham au Brighton.
Hemu niambie kwa mfano Ronaldo angefanya improvement gani kwenye hii timu iliyokuwa pre season? guys Ronaldo's era is gone..Ronaldo tukijenga structure nzuri....I hope anaweza kutushagaza wengi tunaompinga.....mm kwa sasa kila kitu ETH anachokisema bc namuunga mkono coz nmetoamapendekezo mengi lkn bdo hatukufanya vzr.....so united fans naomba tutulie
Mwaka huu tutaona utofauti mkubwa
Eti anakaa na klabu kujadili mstakabali wake..hii ni dharau mchezaji ana mkataba bado mwaka mmoja alafu analeta ujinga. .atafute timu aondoke.Ni kujitafutia ukoo wa kambale tu, mtoto ndevu mkubwa ndevu. Asepe.
Alafu Ronaldo haoni kama anajiharibia. Hiu pre season imejenga picha flan kwa fans, so akiingia alfu tuboronge itakua mbaya kwake, unless ajiweke pembeni kwa limited game times na kuallow team play bila kelele.
Kuna timu za kuuza sura aka PSG akaweke history
huyo mjinga aliishashindwa mpira, badala ya kwenda mazoezini anakwenda kwenye vikao. very stupid guy.Eti anakaa na klabu kujadili mstakabali wake..hii ni dharau mchezaji anamkataba bado mwaka mmoja alafu analeta ujinga. .atafute timu aondoke.
Kama na fununu za Sir Alex ameenda carrington kwa ajili ya hii issue basi ni wazi kabisa mzee anazeeka vibaya na ibabidi awe tu anakuja kuangalia mpira OT aache kuinfluence mambo..huyo mjinga aliishashindwa mpira, badala ya kwenda mazoezini anakwenda kwenye vikao. very stupid guy.
Sure, majukumu yake yangeishia kwenye level ya vikao vya board.Kama na fununu za Sir Alex ameenda carrington kwa ajili ya hii issue basi ni wazi kabisa mzee anazeeka vibaya na ibabidi awe tu anakuja kuangalia mpira OT aache kuinfluence mambo..
Eti anakaa na klabu kujadili mstakabali wake..hii ni dharau mchezaji anamkataba bado mwaka mmoja alafu analeta ujinga. .atafute timu aondoke.
Eti anakaa na klabu kujadili mstakabali wake..hii ni dharau mchezaji anamkataba bado mwaka mmoja alafu analeta ujinga. .atafute timu aondoke.
Hilo la kukatwa 20-30% ni walishindwa kumaliza ndani ya TOP 4.Point yangu ni kwamba Ten hag alisema hatoentertain big price signing. alikuwa anamaanisha bei gani?
Pili, hajapewa blank cheque, kapewa Badget, very limited ndio maana tunaona speed na namba ya wachezaji wanaosajiliwa na watakaoishia kusajiliwa, sasa unaoperate under such a limited budget, bado £85M inaendelea kuwa hela ya kawaida?
ukumbuke Man utd hii inahitaji kuwa overhauled? at least wachezaji saba wanapaswa kuwa replaced kwenye first timu yetu? tunaweza fanya hivyo kwa bei za namna hiyo?
kuna taarifa, wachezaji wote wamekatwa mishahara between 20-30%, maana ake hatuko vizuri kifedha, sasa inakuwaje tutoe hela ndefu namna hiyo?
Kama huku wachezaji wanakatwa mishahara tunamng'angania de jong wa nini wakati ishajulikana hayuko tayali kupunguzwa mshahara huko aliko? we want to make him the highest paid?
bei ya kwanza ya de jong ilikuwa pound 55, mi nilijua imeongezwa kufikia pound 85 sababu baca wameomba wapewe na hela ya kumlipa madeni yake, kumbe sio, sasa bei imepanda kwa msingi gani?
Very average..Wale mliofatilia mechi za pre season, mnaonaje kiwango wa Bruno Fernandes?