ozark
JF-Expert Member
- Dec 31, 2021
- 626
- 1,594
Barca wahuni sana kwenye hela,hawataki kumalizana na dogo ,Xavi names seven players he wants out with Frenchie de Jong in ruthless Barcelona overhaul.
Frenchie anang'angania nini hatakiwi
Barca wahuni sana kwenye hela,hawataki kumalizana na dogo ,Xavi names seven players he wants out with Frenchie de Jong in ruthless Barcelona overhaul.
Frenchie anang'angania nini hatakiwi
Una mwanasheria!? HahaaaMatusi yote hayo unaonekana umepigwa Hadi kwenye mshono ...who care about Europa ,timu linaenda kucheza alihamis futuhi day![]()
Hapa tu nisiwe mnafiki, adidas kasuka "kitu". Uzi mtamu Sana, utendewe tu haki uwanjani!Away kit...bonge la kitView attachment 2292790
So what‽nenden jukwaan kwenuArsenal and Manchester City have reached an agreement for Zinchenko in the morning. £30m fee. No doubt, it’s done between clubs.️
#AFC
Negotiations ongoing on player side for personal terms and salary details, then it will be completed.
Hapa atakua kamaind sana
Nani De gea?..?Hapa atakua kamaind sana

?..?FredNani De gea?..?
Sasa hapo sijui umeelewa Nan! ni Nani namuulizia kati ya Nani na De gea?..?
Hahaha, wale wahuni kila wanapopata kocha mpya huwa wanabadilika mechi mbili za mwanzo baada ya hapo wanarudi kwenye hali yao.Kuna namna Man u kwanye izi game mbili wanacheza yaan kila mchezaji anafahamu majukumu yake hasa kwenye kushambulia na tukiwa na mpira....#Tutawashangaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamecheza Consistency msimu mzima chini ya LVG, misimu miwili chini ya Mou, Misimu miwili chini ya Ole etc.Hahaha, wale wahuni kila wanapopata kocha mpya huwa wanabadilika mechi mbili za mwanzo baada ya hapo wanarudi kwenye hali yao.
Mimi nitaona wamebadilika kama watacheza consistent kwa zaidi ya mechi 20
Tupo hapa nina wasiwasi pogba alichangia kiasi kikubwa kuharibu timu hili limeonekana baada ya kuondoka kaanza kumwaga mboga alikuwa anaongea sana na anaushawish...Hahaha, wale wahuni kila wanapopata kocha mpya huwa wanabadilika mechi mbili za mwanzo baada ya hapo wanarudi kwenye hali yao.
Mimi nitaona wamebadilika kama watacheza consistent kwa zaidi ya mechi 20
Pogba hakusplit dressing room hakuna mwandishi yoyote mkubwa ambaye amereport hiki kitu, jamaa wachezaji wengi wenzake wanampenda, sababu kiwango chake uwanjani hakina Consistency haimaanishi nje ya uwanja ni mtu mbaya pia.Tupo hapa nina wasiwasi pogba alichangia kiasi kikubwa kuharibu timu hili limeonekana baada ya kuondoka kaanza kumwaga mboga alikuwa anaongea sana na anaushawish...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii hali ya timu kucheza vizuri kwa vipindi imeanza kwa Ole.Wamecheza Consistency msimu mzima chini ya LVG, misimu miwili chini ya Mou, Misimu miwili chini ya Ole etc.
Issue ilikuwa ni Bodi, as long as Bodi yetu itabadilika na kuacha kusajili sababu ya Biashara basi na timu yetu angalau Consistently itakua inaingia top 4 kila msimu na kuchallenge ubingwa.
Pogba tunamuonea tu, wewe mwajiri unaruhusu vipi mwajiriwa wako aharibu morali ya wafanyakazi wenzake ????Tupo hapa nina wasiwasi pogba alichangia kiasi kikubwa kuharibu timu hili limeonekana baada ya kuondoka kaanza kumwaga mboga alikuwa anaongea sana na anaushawish...
Sent using Jamii Forums mobile app