Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hii hali ya timu kucheza vizuri kwa vipindi imeanza kwa Ole.

Msimu wa kwanza wa Ole timu ilikuwa tia maji tia maji mpaka alipomsajili Bruno.

Msimu wa pili wa Ole timu ilicheza vizuri mechi 18 za mwanzo baada ya hapo tukapoteana january na february nzima mpaka Man City akatupita.

Chini ya Ralf timu ilicheza vizuri mechi moja tu baada ya hapo ikarudi kwenye default setting yake.

Unazungumzia wakati wa Van Gaal by the way mpaka sasa ni wachezaji watatu kikosini walioachwa na Van Gaal ukiondoa Phil Jones ambaye mimi simweki kwenye kundi la wachezaji wa timu.

Hii timu yetu imekuwa kama mgonjwa wa Erection Dysfunction akipata viagara inasimama baada ya hapo inalala tena mpaka upate dose tena.

Erik ten Hag akitaka kufanikiwa na hii timu asiwaamini sana wachezaji aliowakuta aanze project mpya kwa kuingiza wachezaji wengi wa kwenye academy ambako kuna talents nyingi tu.

Wale wahuni wakipunguziwa game time watabadilika na wengine wataanza kujitoa wenyewe. Kama ulivyoona yule mhuni mkuu kakimbilia Juventus.
We jamaa asiyekuelewa atakuwa na matatizo ya akili
 
huyu Dejong kama kuna mchezo man u wanafanya nae ili akisign mkataba auze jezi nyingi na kusaidia club kupiga hela atakuja kutuletea shida.

wachezaji na benchi lote la ufundi wasihusishwe na mambo ya biashara. hii kitu ndio ilimpa pogba kiburi akatutia vidole
 
kuwapunguzia game time wachezaji ni kuwaua kabisa, na swala la kujenga team, inabidi tuwe wavumilivu wa muda. ujengaji wa timu wa namna hii unaousema inahitaji at least 3 years.
 
Vijana wanatamani kufariki huku 😂😂
20220718_050937.jpg
20220718_050941.jpg
 
huyu Dejong kama kuna mchezo man u wanafanya nae ili akisign mkataba auze jezi nyingi na kusaidia club kupiga hela atakuja kutuletea shida.

wachezaji na benchi lote la ufundi wasihusishwe na mambo ya biashara. hii kitu ndio ilimpa pogba kiburi akatutia vidole
Michezo ya kutiana vidole tena!!
Ila nyumbu mmekuwa hovyo sana
 
Barca lazima wamwachie FDJ hata iweje.

Hawawezi register Raphina na Lewandowski mpaka wahakikishe wana balance vitabu vyao.
Wiki lile alilosajiriwa Franck Kessie waliuza 10% ya haki za matangazo ya TV kwa kampuni ya kimarekani (six street) - euro 207.5M. Hapa ndipo walipopata pesa ya usajili na mshahara wa Ralphina.

Wanafikiria kuuza tena 20% nyingine incase De Jong akigoma kuondoka na kupunguza mshahara kwa euro 400.97M. Ili waweze ku-accomodate mishahara ya kikosi kizima msimu ujao. (Plan B)

Msimu ujao mpaka sasa baada ya usajili wa Lewandowski na Raphina na endapo De Jong atabaki basi Barcelona watakuwa na budget ya mshahara ya euro 559.87M kwa msimu mzima wa 2022/23. Naona kabisa waki-push hiyo plan B, no way out ili ku-balance financial fair play.
 
Duh hata barca walofilisika wanatengeneza timu lewandowski tayari wanamaliza na bernado silver hebu linganisha uwezo wa mchezaji mmojammoja wa liver,man city,madrid bayern na ht barca
ngoja ligi ikianza tutaona hapa mliosema huu usajili unatosha
Hahahahaa sikiliza Jombaa sisi na timu zote ulizozitaja hapo juu tupo ktk mipango tofauti kabisa.

Wenzetu wapo ktk execution strategy sisi tupo ktk rebuilding strategy. Hatuwezi kuingia sokoni na transfer strategy moja na hao hata kama tuna pesa kuwazidi. (tumekuwa na makocha 3 ndani ya miezi 8 - Ole, Ralph, na sasa EtH kila mmoja hapa ali-submit plan yake kwa bodi)

Binafsi namuelewa sana EtH anachojaribu kufanya itatuchukua muda kidogo kurejea ila tukirudi naamini tutarudi kibabe sana. Hii hatua inahitaji ucheze low key but very smart.
 
Back
Top Bottom