allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,328
- 10,933
Mkuu ni mafans wa Manchester kweli nyie hizi game zote ukiwa na man united App unacheki tu.Mwenye link ya game tafadhali.

Nipo sehemu naicheki kupitia Startimes..MUTVChanel gan boss
Vdb ana akili mingi,angekua mwingine angefunga mweyeweSecond goal
Bonge la connection

Hapo basi unatamani tufungwe angalau game moja tu ufurahi upate cha kuongea,na hatufungwi ng'ooKuna man u ya pre season na man u ya epl akili kichwani mwako
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kumbe kuna watu mnateseka halafu hamsemiKuna man u ya pre season na man u ya epl akili kichwani mwako
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app

Ronaldo mambo yake ya familia hayajaisha tu sio?
Atakuja ligi ikianza na kutaka kuanza kikosini na kila mpira aletewe yeye.
Poor team player na link up player..Sijui ETH atamtumiaje kwa kweli.
Mendes anazungukazunguka tu hajapata timu inayocheza UEFA ampeleke..kuna tetesi wameenda hadi Atletico Madrid kulialia.
Tukicheza na number 9 anayeweza pia kuhold mpira ni tight areas,our wide attackers watashine sana tofauti na tutakavyocheza na selfless old Ronaldo.

tuseme ukweli ,mnamkosesha heshima Ronaldo kucheza Europa,Hadi anawatafuta kina simeon ilimradi tu acheze CL
Ndio maana tunapinga kila siku humu. Tatizo watu hawakubali kuwa Ronaldo kafikia mwisho wa kilele cha soka, wao wanafikiri Ronaldo tuliyenaye ni yule wa 2008-2019.Ronaldo mambo yake ya familia hayajaisha tu sio?
Atakuja ligi ikianza na kutaka kuanza kikosini na kila mpira aletewe yeye.
Poor team player na link up player..Sijui ETH atamtumiaje kwa kweli.
Mendes anazungukazunguka tu hajapata timu inayocheza UEFA ampeleke..kuna tetesi wameenda hadi Atletico Madrid kulialia.
Tukicheza na number 9 anayeweza pia kuhold mpira ni tight areas,our wide attackers watashine sana tofauti na tutakavyocheza na selfless old Ronaldo.
Mkui watu tukiwaambia ronaldo hatufai kwasasa wanatuona kama hatumpendi jamaa.Ronaldo mambo yake ya familia hayajaisha tu sio?
Atakuja ligi ikianza na kutaka kuanza kikosini na kila mpira aletewe yeye.
Poor team player na link up player..Sijui ETH atamtumiaje kwa kweli.
Mendes anazungukazunguka tu hajapata timu inayocheza UEFA ampeleke..kuna tetesi wameenda hadi Atletico Madrid kulialia.
Tukicheza na number 9 anayeweza pia kuhold mpira ni tight areas,our wide attackers watashine sana tofauti na tutakavyocheza na selfless old Ronaldo.
Wasipompa pass kwenye press conference anasema madogo hawamasikilizi, anawaita Rooney, Giggs kuwa alikua anawasikiliza.Mkui watu tukiwaambia ronaldo hatufai kwasasa wanatuona kama hatumpendi jamaa.
Umeona saizi japo ni mechi za maandalizi ya msimu lakini tunaona kila mchezaji hanaweza kufunga tofauti na akiwepo Vr7 kila mpira anataka apewe yeye ndo afunge.
Mimi nasema Cr7 asipokuwepo tutakuwa na msimu mzuri sana tofauti na hakiwepo.