Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waleteeee
Screenshot_20220715-212105_Instagram.jpg
 
Pole sanaa! Punguza kushinda chumbani kwa dada zako, Ona umeshaharibikiwa sasa! Huna tofauti na yule kocho kumbuka.
Hahaaaaa yaani umetuliza makalio yako meusi Kama tako ya bunduki kujibizaba na superstar wa jf pain killer ?..

Huogopi ,
 
Malacia, Lisandro na Eriksen kwangu mimi wanatosha. As always kale kajamaa kule tuwaachie mzigo wao Barcelona wamalizane nao.

Kama katamaliza mkataba wake na Barcelona katalamba zaidi euro 88M plus bonus. Hata mimi ningesema siondoki hata walete forklift.

Barcelona wanataka kutumia mgongo wetu kukwepa huu msumari wa makosa yao waliyofanya mwaka 2019. (they are 1.3 billion euros in debt - He's going to bleed them nails to toes)
Duh hata barca walofilisika wanatengeneza timu lewandowski tayari wanamaliza na bernado silver hebu linganisha uwezo wa mchezaji mmojammoja wa liver,man city,madrid bayern na ht barca
 
ngoja ligi ikianza tutaona hapa mliosema huu usajili unatosha
 
Malacia, Lisandro na Eriksen kwangu mimi wanatosha. As always kale kajamaa kule tuwaachie mzigo wao Barcelona wamalizane nao.

Kama katamaliza mkataba wake na Barcelona katalamba zaidi euro 88M plus bonus. Hata mimi ningesema siondoki hata walete forklift.

Barcelona wanataka kutumia mgongo wetu kukwepa huu msumari wa makosa yao waliyofanya mwaka 2019. (they are 1.3 billion euros in debt - He's going to bleed them nails to toes)
Barca lazima wamwachie FDJ hata iweje.

Hawawezi register Raphina na Lewandowski mpaka wahakikishe wana balance vitabu vyao.
 
Back
Top Bottom