Ile siku imewadia nimeamka asubuhi napita mitaa ya kariakoo naona watu wanalia sana[emoji26] mpaka wengine wanagalagala chini.
Nikajiuliza kuna nini leo nikaona nimuulize mmoja wao hakasema hatulii sababu tuna uzuni tunalia sababu tuna furaha[emoji28] iliyopitiliza bado nikaona jibu lake halija ni furahisha nikabidi nimuulize mwingine kuna nini leo akanambia huku akilia sana kwa machozi ya furaha[emoji28]
Timu kipenzi cha watu timu ya dunia timu yenye ipo mioyoni mwa watu timu watu wasipoiona uwanjani wanakosa amani ipo uwanjani leo hakamalizia kwa kusema.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester 4 vs Liverpool 2.
View attachment 2287702View attachment 2287703