Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1655926248321.png

1655926411218.png

Captain Marvelous
 
De jong hachezi 10, sio kama Fernandez, Kipindi wanacheza ajax Van De Beek ndio alikuwa anacheza mbele kama kiungo mshabuliaji, na FDJ alikuwa nyuma.

Kwa sisi man U hatukuwa tukicheza na Regista ndio maana unaona kwetu idea ya regista si kubwa.

Ila angalia majirani zetu Chelsea Kante anacheza na Jorginho, huyu Jorginho si mkabaji ila anakaa Nyuma, Mount ama Havertz anakuwa mbele.

Sasa fikiria Mount kama Bruno na FDJ kama Jorginho.

Linabaki sasa swali la mwisho nani atakuwa kante wetu? patner wa FDJ ambaye atamkabia? Fred ama DM mpya?.
Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.

Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.

Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.

Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.

Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
 
Kwa nafasi nyengine sawa, ila midfield ni tatizo mkuu, tuki re enforce hapo kwengine kunavumilika.
 
Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.

Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.

Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.

Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.

Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Aisee! Kama hawatapandisha viwango vyao, Desemba hatutafika na ETH.
 
Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.

Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.

Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.

Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.

Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Iko hivi,ten hag pale kati ni DE JONG,VON DE BEEK,BRUNO....piga ua garagaza
 
Huyu FDJ ni miongoni mwa viungo adimu sana kiasi kwamba hata Barca wakitaka 150 tuwapatie tu.

Mkuu Chief-Mkwawa kwanini unamfananisha FDJ na McTominay? Inawezekana vipi hii mkuu?
Yaani mkuu kwa jinsi wakina glazer wanavyokula hela,usije ukaona huruma kununua wachezaji gharama,hata kwa FDJ ikilia milion 100 sawa tu hata haiumi
 
Hili nalo neno mkuu, FDJ anacheza kushoto, McTominay uchezaji wake ni kama FDJ aliechoka, same type of players, maybe Tutacheza Diamond ili ku wa Accomodate wote FDJ na Fred. Ngumu sana kujua Huyu kocha anaplan nini. Ngoja tuone.
Piga ua,pale kati ni FDJ,VON DE BEEK,BRUNO/ERICKSEN.....then sancho,ronaldo,antony/rashford
 
Schone hakucheza Nyuma ya FDJ Ajax alikuwa mbele ya FDJ, De jong ni regista kama Pirlo, Alonso, Carrick etc

Regista Hakabi na kufanya Tackling kama DM wa kawaida ila anakaa Deep kabisa

Hizi ni screenshot nimezitoa jukwaa la Man U reddit za Average position Ajax mechi zote mbili za Madrid na Juve
View attachment 2269091

View attachment 2269092View attachment 2269093View attachment 2269094
Screenshot zote zinaonesha FDJ anacheza deep kuliko schone Fdj ni namba 21 na schone 20. Juzi hapa baada ya mechi uholanzi alimcriticise xavi kwamba yeye anapenda kuwa wa kwanza kupokea Mpira kutoka kwa mabeki na akicheza juu quality zake hazionekani.

Pia Pirlo alikuwa hivi hivi Juve, anakaa deep kabisa japo yeye sio mkabaji na mbele yake kunakua na Pogba, Marchisio na Vidal.
Mpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.

DM ni role siyo position pekee uwanjani. Ukimzungumzia Pirlo Machisio na Vidal walikuwa na sifa za kucheza DM na kumfree Pirlo kazi ya kukaba.

Similarly Carrick alikuwa akicheza na Fletcher ili kumpa wigo mpana wa kucheza bila kukaba.

Je hapo United atacheza na nani ???

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
De jong hachezi 10, sio kama Fernandez, Kipindi wanacheza ajax Van De Beek ndio alikuwa anacheza mbele kama kiungo mshabuliaji, na FDJ alikuwa nyuma.

Kwa sisi man U hatukuwa tukicheza na Regista ndio maana unaona kwetu idea ya regista si kubwa.

Ila angalia majirani zetu Chelsea Kante anacheza na Jorginho, huyu Jorginho si mkabaji ila anakaa Nyuma, Mount ama Havertz anakuwa mbele.

Sasa fikiria Mount kama Bruno na FDJ kama Jorginho.

Linabaki sasa swali la mwisho nani atakuwa kante wetu? patner wa FDJ ambaye atamkabia? Fred ama DM mpya?.
Carrick alikuwa ni Regista so hii siyo idea mpya kwetu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo neno mkuu, FDJ anacheza kushoto, McTominay uchezaji wake ni kama FDJ aliechoka, same type of players, maybe Tutacheza Diamond ili ku wa Accomodate wote FDJ na Fred. Ngumu sana kujua Huyu kocha anaplan nini. Ngoja tuone.
Kocha anaweza kuwa ana plan nzuri ila hii bodi ya United ikamletea watu asiowataka.

Imagine United inamhitaji Anthony wa nini wakati ina wachezaji karibia saba kwenye position ya wingers???

Worse enough ni south American hawana performance nzuri epl ??

Hili timu kuna siku litatuua hili

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Nachoona kwa upande wangu labda kocha hana mpango wa kuingia sokoni kwenye dirisha la msimu huu.

Labda kocha anataka kuingia na kikosi hiki hiki msimu mpya aanze nacho.

Maana Manchester sio kwamba tuna kikosi kabaya sana labda ni mbinu za makocha tu zilishindwa.

Mimi hata tusipo fanya usajili naona sawa tu maana wachezaji tunao kibao kwakuwa kocha ana jenga timu naona tu asitumie nguvu kubwa kwenye dirisha hili maana wachezaji wenye wapo haja fanya nao kazi hata kidogo.

Mimi naona msimu wa 2023/2024 ndo tunaweza kufanya cha maana kwenye usajili sio dirisha hili.
Kuna gepuu kubwa kwenye kikosi wameondoka wachezaji karibu wa 6
Cavan
Mata
Lingard
Pogba
Matic
Greenwood

Apa kwa haraka ili kubalance kikosi atleast tusajili wachezaji 4 d
Ili depth ya kikosi iwe sawa..ukumbuke tuna Europa League na Premier League michuano yote tunatafuta nafasi nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.

DM ni role siyo position pekee uwanjani. Ukimzungumzia Pirlo Machisio na Vidal walikuwa na sifa za kucheza DM na kumfree Pirlo kazi ya kukaba.

Similarly Carrick alikuwa akicheza na Fletcher ili kumpa wigo mpana wa kucheza bila kukaba.

Je hapo United atacheza na nani ???

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu labda nikuorozeshee baadhi ya registere midfielders huenda ukaelewa

Regista midfielder
Verrati
Alcantara Tiago
Joghinyo
Pirlo

Carrick(deep lying playmaker)
Cesc Fabregas(deep lying playmaker)
Xaiv (deep lying playmaker)

Nilielewa toka awali umewahi kuona hao regista wakicheza bila mkabaji ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Huyu FDJ ni miongoni mwa viungo adimu sana kiasi kwamba hata Barca wakitaka 150 tuwapatie tu.

Mkuu Chief-Mkwawa kwanini unamfananisha FDJ na McTominay? Inawezekana vipi hii mkuu?
Nimesema FDJ aliechoka.

Stats nyingi za FDJ zikitajwa scroll chini Mctominay hayupo mbali

i0b2au3e91391.jpg

Sifa kubwa Ya De jong ni hii akipata mpira anakokota anapandisha mashambulizi, Mc tominay pia ni hivyo hivyo anapenda kukokota na ni katika midfielder wazuri kwenye hili eneo.

hizi stats nimezitoa fbref
de-jong-1.png

angalia kwenye possession angalia dribles angalia carries, de jong ni moja ya midfield bora kabisa duniani, ni eneo lake, ila ukimuangalia fred hana sifa hizi ni Mctominay ndio anaefuatia, sehemu ambazo de jong anascore 90 yeye ana around 70, hivyo nchezo wao unafanana ila de jong anafanya kwa ufanisi zaidi.

tuje kwenye defending sasa
de-jong-2.png

hili ni eneo la fred, karibia stats zote za kukaba fred yupo vizuri, de jong ni wekness yake hapa, na mc tominay pia hayupo vizuri kwa mid inayocheza deep.

hivyo unaona MCtominay hana kitu anacho add kivile over FDJ, in reality FDJ ni upgrade ya MCtominay, ila Fred ana skillset ambazo FDJ hana hivyo wanaweza tengeneza patnership nzuri.
 
Mpaka hapo umeona hana sifa za DM ila ni CM sema anacheza deep tu.

DM ni role siyo position pekee uwanjani. Ukimzungumzia Pirlo Machisio na Vidal walikuwa na sifa za kucheza DM na kumfree Pirlo kazi ya kukaba.

Similarly Carrick alikuwa akicheza na Fletcher ili kumpa wigo mpana wa kucheza bila kukaba.

Je hapo United atacheza na nani ???

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
hapo kwenye Carrick na fletcher, siku zote fletcher alikuwa anacheza juu na Carrick yupo chini, hata kwa pirlo, Pogba alikuwa kushoto na marchisio kulia, vidal juu na pirlo chini.

1269936_1027874660573096_5059525819447976410_o.jpg

unapokuwa na regista unaweza pia kumprotect na inverted fullback, ila fullback zetu ndio hivyo tia maji tia maji.
 
Back
Top Bottom