We mbona "Mbwa" tangu kitambo.Kwa hii man u legelege Kama utumbo wa konokono mkuifunga Liverpool mniete mbwa Niko pale nimekaa
Shida hata tukifungwa bado tutasemwa tu timu mbovu bora tushinde tu,na washafanya sub zoteSema ubaya wa hivi vi mechi uwezi jua uwezo wako kabisa.View attachment 2288039
Ulitaka apange nani?Mbona kama tupo serious na mechi hafu Liverpool kapanga kawaida tu.View attachment 2287941
ETH nae kaingiza watoto wote safi kabsa dawa ya moto niLiverpool wameamua kutudharau kabisa.

Dah Bailly namkubali, michomo yote aliyochomoa angekua Maguire zishakamilika.Eric Baily ameanza vizuri pre-season. Back yetu ya kushoto haifanyi marking vizuri. Elanga anahitaji kutulia mbio tu halitosis. ETH yupo vizuri, ule utoto utoto utaisha maana sura yake tu isiyo na mzaha inapeleka message ya kutosha kwa wachezaji.
Yaah! Wakitumiwa vizuri De Jong wa nini? Na huyo Pellistri why walimtoa mkopo wakati utumbo mwingi msimu uliopita.Bailly kacheza vizuri sana..
Dogo iqbal nimemkubali..dogo ana composure nzuri.
It's always feels good kuwafunga hawa scoosers.
Kocha anatafuta profile maalum, Sms, nevez wote hawana Quality ya Fdj, kwa source ambazo haziaminiki sana ni Peredes wa Psg ndio alternative ya UTD.Hivi Ndugu Yangu Tuongee Tu Ukweli...Hivi Ni Kweli Kabisa Hakuna Midfielders Wengine Wazuri Kama De Jong Au Walio Vizuri Zaidi Kuliko Yeye?... Midfielders Kama Sergej Milinkovic Savic, Youri Tielemans Na Ruben Neves Hivi Hawana Ubora Ambao De Jong Anao? Tena Usikute Wote Hawa Wanamzidi Jamaa...... Hivi Ni Majukumu Gani Hayo Ambayo ETH Anataka Kumpa De Jong Ambayo Mifano Ya Hao Watu Watatu Apo Hawawezi Kumuelewa, Kwa Akili Gani Walizokuwa Nazo??.... United Wanalazimisha Tu Hili Dili Na Barca Na ilhali Barca Hawako Tayari Kufanya Biashara Nao Kama Kweli Barca Wapo Serious Na Hili Dili Lingeshaishaga Kitambo... Na Pia De Jong Mwenyewe Priority Yake Ni Kuendelea Kubaki Pale...Hivi Vp Wakimsajili Then Akaja Kucheza Utumbo Pale United, Jumlisha Muda Waliopoteza Kuhangaika Na Usajili Wake Pamoja Na Ada Ya Uhamisho Wake Ambayo Bila Shaka Itakuwa €85M Huo Si Ndio Utakuwa Ubogus Wenyewe Sasa.....Kwenye Hili Suala United Is Just Getting Me Pissed Aisee!
Kweli kuna watu hawamfahamu FdJ vizuri.Kocha anatafuta profile maalum, Sms, nevez wote hawana Quality ya Fdj, kwa source ambazo haziaminiki sana ni Peredes wa Psg ndio alternative ya UTD.
Ila lvg hakufunga Pre season tu, hata ligi hakuwa na Mchezo vs top team, kwenye ligi misimu mwili kacheza mechi na liver kawapiga zote hata draw hawakupata, Arsenal aliwafunga na Rashford striker ana miaka 18, Man city tulipiga sana, Spurs ndo usiseme.Yote kwa yote!! Pre-Season kwa Manchester United hainaga maana yoyotee!! Tokea SAF ang’atuke.
Rejea; LVG