Manchester United (Red Devils) | Special Thread

20220706_165201.png
 
Hapa sasa umeamua kuja na hoja za kichekechea kabisa na yoyote mwenye akili hahitaji kutumia muda mwigi kujua kwamba una nongwa zako juu ya CR7, either ni team Messi au whatever.

Hivi unawezaje kuhusianisha tukio la Mason kupiga demu wake na uwepo wa Man Utd pale Manchester? Hii hoja ni ya kitoto kabisa, kwahiyo ikitokea wapo wanaonyimwa unyumba nao itakuwa ni kwasababu ya Robaldo?

Mimi nipo hapa kusubiri atakeeleza kiufundi ni kwanini Ronaldo ndiye aliyeifelisha Utd licha ya kuchangia mabao mengi kuliko mchezaji yoyote, anahusika vipi na magoli mengi tuliyoruhusu msimu huu, anahusika vipi na midfield yetu iliyooza?

Nyinyi jengeni team tu ila hizi habari za kutafuta mtu wa kumuegemezea zigo la mavi ni utoto tu, Ile Utd ilikuwa imeoza kuanzia nyuma, katikati na huko mbele alibaki Ronaldo tu mwenye makali.
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.
 
Mkuu nakuunga mkono asilimia/100 bora asepe tu faida ni kubwa kuliko hakibaki.
 
Na mna bahati West Ham alipigwa comeback, angeshinda lile game nyumbu mngecheza conference league hapo hadi Magwaya angetaka kuondoka.
Sisi Pana game 2 au 3 tungeshinda upuuz mwingi usigetokea. I bet Bora hata angebakigi solsisher tungekuwa okay. Lkn solsisher alifanya makosa ya kumng'anganiza Pogba...na Tena akampa kichwa Ronaldo.. ni ktk makosa makubwa Sana
 
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.
Kaka amini....huna akili kabsa
 
Nimekudharau sn.... wahisha sukari nyumbani, United hatuna vilaza km wew
 
Mambo mengi hapa hayana uhalisia kama ulivyo andika maana Ronaldo kama mchezaji hajawah kufanya press kusema vitu ulivyo andika hapo ila magazeti yanaandika ili yauze labda ungesema tulibadili namna ya kucheza kutokana na ujio wake mfano msimu wa 2020/21 tulikuwa tuna defence tukiwa nusu ya uwanja upande wetu na kushambulia kwa counter na ilitusaidia kuficha mapungufu ya wachezaji kama maguaya na full back zetu

Lakn 2021/22 tulibadili tukaanza kucheza mifumo ya kukabia juu pressing sasa hapo ndio tatizo lilipokuja tena kwenye kudefence game nyingi defence yatu ilikuwa mbovu inachoma plus hatukuwa na midfielder wazuri kucheza mfumo huo wa kukukabia juu...na tulianza kucheza hvyo toka msimu umeanza sosha alianza mwenyew nafikiri ni baada ya kupata wachezaj kama varane, Ronaldo, Sancho hawa watu nafikiri ndio waliompa matumain sosha kubadili mfumo wake na sio kusingizia matatizo ya wachezaji wengine kwa Ronaldo

TIMU NI MBOVU IN FACT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya yule.
Me nilijua unaeleza facts kumbe upo hapa kumtukana yule boya?😂

Okay baada ya safari ukitulia usiache kutupa mwendelezo, maana unajua kuchamba.
 
Nadhani mapungufu nayoyaona kwenye mitazamo yeni ni fikra zilizojikita kwenye dhana kwamba mpira ni wachezaji 11/22 ukiondoa red cards na dakika tisini ukiondoa muda wa nyongeza.

dhana hii ndio ileile inayoangalia timu yenye mabeki, mid fielders na strickers, ambayo sio ya msingi kiivyo.

mpira is alot of things, na Ronaldo amechangia alot of negative things kwenye timu msimu uliopita, hivyo aondoke zake.
1. Hata sasa, Ronaldo ni nani mpaka ahoji situation ya timu kusajiri? hivi hao wachezaji waliopo ambao wanacheza nafasi ambazo inasemekana inabidi waje wachezaji wengine wanamchukuliaje Ronaldo? kama mwenzao? Yaani hataki kucheza na wachezaji waliopo?

2. Ronaldo alipofika alitengeneza kakundi ka waongea kispanish kwenye timu?

3. Hako ka kundi kakaanzisha Propaganda za Ronaldo awe Captain? hivi mnaelewa madhara ya upuuzi wa namna hii? kwa timu nzima?

4. Uwanjani, from day one, akawa analazimisha lazima yeye ndio apige mipira golini, huu upuuzi ndio yule dogo mjelajela aliukataa wakakosana akaanza kumsemea dogo mbovu? mshenzi yule mipira yenyewe akipewa anapiga maboko, dakika 70 za mchezo kazi kujiangusha angusha na kulalamia wachezaji, marefa mpaka mashabiki.

5. eti top scorer, alifunga magoli 24 TUUUU, ANTONY MARTIAL MSIMU WA 20/21 ALIFUNGA MAGOLI 23 PIA. So huyo ronaldo hakuna jipya kwenye ufungaji alioleta pale uwanjani zaidi ya kulazimisha kuzuia watu wengine wote wasifunge.

kwa uchache, niko safari nikitulia ntarudia hapa kumtukana vibaya sana boya s

100%
 
Mkuu hivi unamjua vizuri ericksen wewe au kwakuwa alikuwa anachezea timu za kawaida nawewe una muona wa kawaida.

Jaama ni fundi balah kule inter milan alipambana hadi walipata ubingwa mzee sio wa mchezo mchezo uyo mwamba

Tatizo watu mnapenda kusikia majina makubwa makubwa tu mm kwangu naona ericksen ni mkali kuliko hata uyo de jong wenu.
Upo sahihi Sana ,wanamchukulia poa Sana Ericksen , wakamuangalie aliporud hapo Brantford alivyokiwasha ,

Mm ukiniwekea FDJ na Ericksen nabeba Ericksen , jamaa linajua ,sema aliporud epl weng hamkumzingatia , kawaulize Chelsea ile mech wanakufa 4 alichowafanya ,

Na kwa eick ten hag anavyoruhusu timu zake kucheza , bassi Ericksen atakuwa hatari Sana,
 
Fdj na Eriksen ni wachezaji tofauti kila mmoja na position yake. Eriksen position yake kubwa ni kiungo mshambuliaji pia anacheza pembeni na kati. Akija Man U ujue mpinzani wake mkubwa ni Bruno watakuwa na role moja kupiga pasi za mwisho. Mda mwingi ataspend akiwa half ya pili tunaposhambulia

Fdj yeye anatengeneza nafasi za kushambulia ila anatengeneza akiwa Nyuma, kazi ya De jong ni kumtafuta Sancho, Bruno, Rashford etc anapiga sana pasi ndefu na anakaa Nyuma kushinda hata kina Mc tominay na fred, most of time akija Atakua yupo na Varane na Maguire.

Hii video ukiangalia utamuelewa FDJ vizuri.
 
View attachment 2283646
FDJ au mchezaji wa kaliba yake ni muhimu sana kwa MUFC.
 
Back
Top Bottom