Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwanini timu za ulaya haziji Africa kufanya pre season.

Nini tatizo Ukata, au miundombinu mbona South Africa, Algeria, Egypt zipo vizuri, hakuna cha ukata timu zikija zinajaza kweli na mzuka juu tena kuliko huko Asia.
Man Utd 2012 Tour yao ilikuwa ni South Africa. Wanakuja ila si sana Compare na Asia.

Dunia ina watu Bilioni 7 na Bilioni 4.5 wapo Asia.
 
Uzi mmeuona lakini?

Mi nimeuelewa to be honest..
Haipingwi
20220708_110548.jpg
 
Ronaldo kuwa kwenye utambulisho wa jersey ya next season imekaaje wakuu ? Means bado tunae au!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kuwa kwenye utambulisho wa jezi haihusiani na kuondoka, bado ana mkataba na United wana haki zote juu yake.

Ila kuna habari kuwa kuna video maalumu ambayo yupo Ronaldo mwenyewe, Beckham na Cantona (iconic no. 7s) ya utambulisho wa jezi haijaachiwa mpaka United wajihakikishie atabaki msimu ujao. So kama hiyo video itatoka tutajua kama atabaki au la.
 
Cristiano Ronaldo last season:

Most Premier League POTM awards
Most Man United POTM awards
Man United’s Player of the Year
️ Man United’s top scorer
️ Man United’s Goal of the Season
Included in Premier League Team of the Year

Nasikia wana Manchester United huko Twitter wanasema alipata u EPL POTM wa mchongo

#GGMU

manutd
IMG_20220708_023621_983.jpg
 
Back
Top Bottom