Ralf aliwahi kumrecommend Patrick Schick na sokoni ndiyo striker pekee anayefuatia baada ya Halland
Schick ni CS na siyo SSLautaro na Schick wote ni SS. Andrea Belloti umri umemtupa mkono.
Lautaro anafaa kucheza false nine kwa hiyo mobility yakeLautaro na Schick wote ni SS. Andrea Belloti umri umemtupa mkono.
Man Utd ni brand kubwa tu.Sijui kwa nini sajili za awamu hii zinanifurahisha except De Jong.
Fundi kaja. Huwa navutiwa sana na sajili zisizokuwa na mlengo wa kibiashara nyuma yake. Malacia & Eriksen - genius signings!
Hawa ni aina ya wachezaji wasiokuja na ego bali wanakuja kufanya kazi.
Maguire hadi mazoezini bando ana tabia ya kujipiga makonzi kichwani.
Ama kweli mashabiki wa kibongo ni watu wasiojielewa na wala hawajui wanataka nini, msimu uliopita OLE OUT OLE OUT OLE OUT zilikuwa nyingi sana humu na huko ulaya kabla hata Man Utd haijajua kama kutakuwa na uwezekano wa kumsajili Ronaldo.Huwezi kuelewa.Hujui kama Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole kazi. Au mahaba yamedizi
Nilivyoangalia clip zake anacheza kama Wan BissakaOfficial Malacia ni mchezaji wa Man U
Shida ni kwamba watu wameendekeza ushabiki wa ki-hoyahoya , mtu anakwambia eti Ronaldo ndo kfukuzisha Ole wakati hashtag za OLE OUT zilianza mapema tu hata kabla Ron hajaja Man Utd.Acha ujinga kijana.
Pale klabuni hakuna wa ku-replace magoli ya Ronaldo.
Hakuna mchezaji mwenye ari ya uchezaji kama Ronaldo.
Akipata timu yenye wachezaji sahihi anakupa magoli 25 bila shida pamoja na uzee wake.
Hapa sasa umeamua kuja na hoja za kichekechea kabisa na yoyote mwenye akili hahitaji kutumia muda mwigi kujua kwamba una nongwa zako juu ya CR7, either ni team Messi au whatever.Mentorship ipi anatoa Ronaldo zaidi ya kuharibu career za madogo, wakati anafika hapo kulikuwa tayari kuna wide observations juu ya mapungufu ya Rashfod and Martial, character weaknesses, aliwasaidia vipi? sanasana kasababisha wamepotea zaidi, ameua kabisa their inner being.
hata yule alipiga girl friend wake, yawezekana ni kutokana na kuwa frustrated na behaviour the Ronaldo, sababu immedietely alipofika waliingia kwenye migogoro naye, mentor anagombana na the youngest player in the squad?
Facts??You are pathetic, you can not stand the facts.
Ndio mkuu ni kama AWB na yeye pia ni press resistant, anajua kudrible na kutoroka, anakaba etc, sema anajua kupiga pasi nzuri pia, na ana speed sana. Hivyo fikiria kama Awb+rashford pamoja.Nilivyoangalia clip zake anacheza kama Wan Bissaka
Wa kwetu wengi hawauziki na hata wale ambao kidogo wanaweza kuuzika sokoni, bado tunawaona kama moyo wa club yetu. Hapo kikosi cha kwanza hakuna mchezaji ambaye tunawaza kumuuza hapo kwa 60M.Manchester city wanauza wachezaji wao hususani kutoka team B kwa kiwango cha juu kabisa mpaka naingiwa na wivu, wameshakusanya paundi million 26 kwa mauzo ya wachezaji wawili walionunuliwa na southampton na wote wanatoka team B. wameshapata paundi million 40 kwa gabriel jesus na wanaelekea kupata paundi million kwa sterling. pia wamemuuza mjapan kwa bei ya jumla kwenda borussia. SISI TUNASHINDWA KUWAUZA HATA WA KIKOSI CHA KWANZA
Huyu ni Bissaka mwingine, nasubiri ajipambanue pale Utd.Official Malacia ni mchezaji wa Man U
View attachment 2281852
Wanasema ni mbovu kwenye krosi na kuzuia. Sasa mmekataa nini na mnaleta nini..Officially Official.View attachment 2281853
Ronaldo anasemaje eti?..
Aondoke zake..pumbav zake
Stats zake zipoje? maana inaonekana n wakawaida huyoRalf aliwahi kumrecommend Patrick Schick na sokoni ndiyo striker pekee anayefuatia baada ya Halland