Ten Hag hana timu ya ku-implement tactics zake.Post yangu uliyoquote nilimaanisha hiki kitu, nashangaa hukunielewa.
Uwepo wa Ronaldo upfront unamruhusu kocha kuimprove squad kwenye other positions. Kuondoka kwa Ronaldo either united waspend big money kubuy CF wa Kumreplace Ronaldo kitu kitachozuia kuimprove other positions (financially wise) OR waimprove other positions huku wakitafuta cheap CF kitu kinachowarudisha nyuma quality wise.
Ten hag hili suala analiangalia kiufundi zaidi wakati management wanaliangalia kiufundi & kiuchumi.
Hata ishu ya FDJ Ni mchezaji kwa MUJIBU was Laporta .FDJ inasemekana anapenda kubaki Barca ,Ishu ya Raphina mkuu haihusiani na klabu hizo ni mchezaji binafsi, ndoto zake ni Barca, ila Chelsea washakubaliana kila kitu na leeds imebaki player side kuamua la sivyo deal ingeshaisha muda tu
Kwa nini tumng'ang'anie mchezaji aliyeomba kuondoka? (genuine desire cannot be negotiated)Kuna replacement plan ya Ronaldo?
Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
Huyo anafaa Arsenal wacha kujitoa ufahamuSimba wana tatizo la mshambuliaji,fanyeni swap na kagere maana ana sifa zote ambazo mou kazitaja
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Huyo Juan Larpota ana akili sana. Kamuweka mtegoni Frenkie De Jong ili apunguze mshahara kama kweli anataka kubaki Barca. Mshahara wake wa sasa ni $354k. Wao wanataka ushuke mpaka $200k. Josep Bartameu na bodi yake ndio waliompa huu mkataba De Jong, Laporta anasafisha makosa ya nyuma ndiye aliyemuondoa Messi pia.hiyo paragraph ya mwisho umeielewa vipi, ok barca wanaweza kukataa pesa ya kumuuza de jong ila hawatakubali de jong aendelee kuramba euro laki 4 hadi 5 kwa wiki.
Matter of fact 80% ya utd fans hawamtaki so achukue time tuRonaldo anasemaje eti?..
Aondoke zake..pumbav zake
We jamaa em acha .kipi huelewi apo?? KhaaaBado hauna points za msingi kivipi Ronaldo ni tatizo United. Kila mtu anajua kwanini Solskjaer alifukuzwa kama Ronaldo ndiyo alimuajiri Solskjaer sawa!
Sijasema tumzuie Ronaldo kuondoka.Kwa nini tumng'ang'anie mchezaji aliyeomba kuondoka? (genuine desire cannot be negotiated)
Tuheshimu maamuzi yake aruhusiwe kuondoka. Tena mimi ningeshauri waende mbali zaidi watoe notice mapema kwa timu nzima anayetaka kuondoka aseme mapema kabla dirisha halijafungwa.
Hii sensa imefanyika lini?Matter of fact 80% ya utd fans hawamtaki so achukue time tu
So alikuja kufanya nini kama hakuna timu ya kuimplement tactics?Ten Hag hana timu ya ku-implement tactics zake.
Timu iliyoshindwa ku-implement tactics za Ralf Rangnick leo waweze za Ten Hag?
Guys, let's be realistic now. Man Utd haina wachezaji wa kuimplement any serious tactics.
Individual efforts zilitubeba atleast last season.
Mashabiki inatakiwa wawe wavumilivu kwa EtH mpaka pale atakapopata team kamili.Kiufupi hii season tunayoingia ni transition nyingine mpya.Ten Hag hana timu ya ku-implement tactics zake.
Timu iliyoshindwa ku-implement tactics za Ralf Rangnick leo waweze za Ten Hag?
Guys, let's be realistic now. Man Utd haina wachezaji wa kuimplement any serious tactics.
Individual efforts zilitubeba atleast last season.
Sure Jombaa. Issue kubwa iliyopo huko ndani inaaminika EtH yeye mwenyewe kwa moyo mmoja kaamua dirisha hili tusiingie sokoni mazima. Budget aliyopewa na bodi ni pound 150M without sales.Sijasema tumzuie Ronaldo kuondoka.
Nipo concerned na sababu ya yeye kuondoka.
Hatuko na ambition yeyote as of now.
Kwa misery tulionayo hatujaimaliza, bado inaongezeka nyingine.
Yeah ni kweli kabisaHata ishu ya FDJ Ni mchezaji kwa MUJIBU was Laporta .FDJ inasemekana anapenda kubaki Barca ,
Ni ukata wa pesa tu ndio utamfanya aondoke Barca kinyonge .
Toka yupo Ajax ,FDJ aliwahi kusema hivi
He told Voetbal International that he was planning on taking a different route to his dream club via a club like Arsenal.
He said, “In my mind I have had the following list for a long time: Ajax-Arsenal-Barcelona, call it the Marc Overmars route but then again, if you can go directly to Barcelona, then you are right where you want to be. Faster than you ever dared to dream.”
Kwahiyo yupo hapo Barca klabu ya ndoto yake , Dili lake kwenda man u Ni Kama Anafosiwa TU sababu ya njaa za Barcelona .
[emoji599][emoji2422]| The only thing that is holding up Frenkie de Jong to Man Utd is the player himself. He is reluctant to leave Barcelona and is not that convinced by Erik Ten Hag's project. [@MarkOgden_] #fcblive
Alivyotaka yeye labda alitaka kuona mafanikio ya Man utd yanaletwa na yeye mwenyewe na sio mtu mwingineHuu mzee mwanzo nilikuwa naelewa ukosoaji wake na mfumo mzima wa uongozi kiuendeshaji ila sasa hivi naona kama anavuka mipaka. He's too emotional dhidi ya United.
Ila jamaa anamwaga maji kinoma.Telles hakuna game hata moja niliyowahi kuona amecheza vizuri besides lile goal lake vs VillaReal..
Kusema kweli ujio wa CR7 ulimuuma Cavani tangu kupokonywa jezi namba 7 pamoja na kusugua benchi mara kwa mara.Tena mshahara wake tutalipa wachezaji watatu wapya,.Ila Man u tujifunze kutosajili wachezaji kibiashara,huyo ronaldo mwaka jana hakua kwenye plan,na huenda tungemtemea Cavani tungemaliza vizuri tu
Imenibidi nikupe like tu[emoji28][emoji28][emoji28]kidogo kidogo mtaanza kuokota makopo