Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wazee wafanyeni usajili , Kuna kipute cha mechi kila baada ya siku 3 hapo mbelen ,tutatafutana ubaya

Una beki Maguire na Lisandro ambao ni pancha

Sub una heaven na Yoro ,mtapigwa had mchakae ,

Mpaka sasa midfield yenu ni dhaifu

Mnaenda kusajili Santos mkaa bench Chelsea,Tena kaja kanenepeana

Yuri Yuri naye ni passer sio DM

Wazee sajilin msije hamia mancity hapo December ,Pep wakuwasaidien kashawakimbia

Midfield yangu Nina Rice, Zubimendi, Merino,Skelly , Ø,Eze,

Halafu nashusha Bruno Guimares

Mnaona depth hiyo ?

Flano sajilini msije hamia mancity ya tapeli Paresca

Muda huu Jayz CEO wa Rock Nation kampuni inayomsimamia Vini jr anafanya mazungumzo na Kroenke kuhusu kumsajili Vini Jr
HOkW4uXW4AATfyN.jpg
HOdp1R4XsAAeXLp.jpg

Nyie wenzetu usajili kama mmefunga tayari

Fanyeni usajili ,msimu ujao naweka Kambi humu
 
Wazee fanyeni Sajili za kueleweka

Mpaka sasa hamna mabeki wa kueleweka ,viungo mlionao Maino ,Yuri Yuri, kibonge Santos ,

Kuna mziki wa mechi kila baada ya siku 3,kama huna depth na Quality players ,kufikia December mtahamia mancity ya tapeli Enjo Mareka awasaidieni kumsimamisha Arsenal 🤣

Wazee fanyeni Sajili za kueleweka ,
HOmXIWbW4AAC3-A.jpg
 
MANJESTA YANITED fanyeni Sajili aisee

🚨🇧🇷 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 | Arsenal reach agreement in principle to sign Bruno Guimarães (28) from Newcastle. €90m fee. Some details remain. Player has already said yes, reports @hugoguillemet. ✅

Nina Declan Rice, Zubimendi, Skelly, Merino,Ø,Eze,

Halafu naongeza na Bruno G

Jifananishe na wewe Manjesta una Maino ,Yuri Yuri , Kibonge Santos, Bruno Pernandes, Mount

Mount na kibonge Santos siwahesabii Hawa matapeli

Maino na Yuri Yuri na Pernandes, Hawa ndio unataka upige nao UCL ,then uje nao EPL , na uwe stable ?
🤣🤣

Hapo Lisandro pancha inabidi acheze Heaven au Yoro ,

Manjesta mna utani sana
 
Msikilizeni Lijend wenu Evra ,maana nikisema Mimi mnasema ni hater

Haya msikilizeni Evra 👇👇

"When I look at Manchester United, I see more drama than football. Every week there's a new story, a new problem, a new headline. It feels like the cameras are always on.

If Arsenal end up signing players like Bruno Guimarães or even someone of Vinícius Jr.'s calibre, then they're sending a message that they're thinking about dominating, not just competing.

Sometimes football changes quickly. Years ago I laughed at Arsenal. Today, I think Manchester United have become the new 'Netflix FC,' while Arsenal are acting like a club with a real long term plan.”
HOlBHGaXUAAjZWX.jpg
 
Wazee fanyeni Sajili za kueleweka

Mpaka sasa hamna mabeki wa kueleweka ,viungo mlionao Maino ,Yuri Yuri, kibonge Santos ,

Kuna mziki wa mechi kila baada ya siku 3,kama huna depth na Quality players ,kufikia December mtahamia mancity ya tapeli Enjo Mareka awasaidieni kumsimamisha Arsenal 🤣

Wazee fanyeni Sajili za kueleweka ,
View attachment 3641202
Vini Jr. hataleta mambo ya kutaka kuvaa namba 7 mgongoni ambayo kwa sasa anaivaa Saka?
 
Wazee fanyeni Sajili za kueleweka

Mpaka sasa hamna mabeki wa kueleweka ,viungo mlionao Maino ,Yuri Yuri, kibonge Santos ,

Kuna mziki wa mechi kila baada ya siku 3,kama huna depth na Quality players ,kufikia December mtahamia mancity ya tapeli Enjo Mareka awasaidieni kumsimamisha Arsenal 🤣

Wazee fanyeni Sajili za kueleweka ,
View attachment 3641202
Nyie mmetumia miaka mingapi kujenga kikosi na kupata mafanikio??
 
Back
Top Bottom