Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NYUMBU kama NYUMBU
tapatalk_1655407182266.jpeg
 
Poga ni li jinga sana yani hafu linasema litaonesha ni jinsi gani tumefanya makosa kutolipa mkataba mpya liende tu miaka6 yote iyo tumeona nini cha ajabu.View attachment 2262975
Ndio tunaelewa saa hii kwamba pogba amechangia kudhoofisha Manchester kwa maneno kama haya huyu ni kirusi alikuwa anaambukiza wenzie anaongea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutegemea tuta-lag behind this much kuhusu usajili.
Mkuu kivyovyote mpaka Juni 30 tushajua Mbivu na mbichi,

Jinsi inavyokaribia june 30 ndio jinsi Barcelona wanapata presha na ndio Jinsi tutamsajili de Jong kwa bei rahisi. Hicho ndio kinachoendelea sasa. Unless kutokee changes kubwa Sana De jong anakuja UTD na ni top priority.
 
Kwahiyo kwa kifupi ni kwamba Barcelona wanaleta ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya kioo ?
 
Tottenham Hotspur and Ajax have been calling each other for months now regarding a potential transfer of attacked Steven Bergwijn, and while the Dutch champions have been dragging their feet on the price, one way to get them to talk is working out a deal for another player. That player is winger Antony, and according to Miguel Delaney of the Independent, Spurs are more than interested. It’s a quick mention as Delaney talks about how Manchester United are still seeing the same problems with the transfer.

Transmission
Tottenham Hotspur na Ajax zimekuwa zikipigiana simu kwa miezi kadhaa sasa kuhusu uwezekano wa uhamisho wa Steven Bergwijn, na wakati mabingwa hao wa Uholanzi wakivutana na bei hiyo, njia mojawapo ya kuwafanya wazungumze ni kuandaa dili kwa mchezaji mwingine. . Mchezaji huyo ni winga Antony, na kulingana na Miguel Delaney wa gazeti la Independent, Spurs wanavutiwa zaidi.
 
Back
Top Bottom