Manchester United (Red Devils) | Special Thread

manyumbu mna taka adi wagonjwa wa moyo ndo mlipo fikia eriksen
Wala sio ugonjwa na ile hali imewahi kuwatokea wengi tu ata Rooney ashawai kuzimia uwanjani kama unahisi ni mgonjwa waulize CHELSICK...Ericksen ALIWAFANYAJE.....
20220503_100320.jpg
 
Naona watu wanawaza tu haaland na nunez tu hawajui kuna mashine ya kireno inaenda timiza miaka38 isije ikawashangaza msimu ujao ikaacha mbali hao watoto kwa magoli.View attachment 2261659
Huyo Ronaldo kashazeeka ,kwanza atachoka safari Za kwenda huko Scotland kucheza Europa na kina selitiki ,renjazi,sipatikomosiko huko urusi ....ikiwezekana wanaweza kulipukia huko maana urusi Kuna Putin mzee wa vita ...
 
wewe tuliza kende izo ujionee unadhani mbali hapo.

Kwanza ratiba ya ligi inatoka leo kwaiyo kaa kwa kutulia.
 
ratiba ya ligi kuu England inatoka leo

Ila hawa wajinga wasije fanya ujinga wakutupangia timu 5 mfululizo zote ngumu kama msimu uliopita sema advantage kubwa tuliyonayo msimu huu atutakuwa mashindano yenye presha sana ya Uefa.

Kwaiyo naona tukifanya sajili zetu vizuri tunaweza kufanya vizuri target yetu kubwa najua sio ubingwa labda litokee zari tu.
 
Ratiba ilishatoka kitambo hivi wewe upo dunia gani mzee
 
Back
Top Bottom