Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tottenham Hotspur and Ajax have been calling each other for months now regarding a potential transfer of attacked Steven Bergwijn, and while the Dutch champions have been dragging their feet on the price, one way to get them to talk is working out a deal for another player. That player is winger Antony, and according to Miguel Delaney of the Independent, Spurs are more than interested. It’s a quick mention as Delaney talks about how Manchester United are still seeing the same problems with the transfer.

Transmission
Tottenham Hotspur na Ajax zimekuwa zikipigiana simu kwa miezi kadhaa sasa kuhusu uwezekano wa uhamisho wa Steven Bergwijn, na wakati mabingwa hao wa Uholanzi wakivutana na bei hiyo, njia mojawapo ya kuwafanya wazungumze ni kuandaa dili kwa mchezaji mwingine. . Mchezaji huyo ni winga Antony, na kulingana na Miguel Delaney wa gazeti la Independent, Spurs wanavutiwa zaidi.
 
Tatizo la pogba alijua yeye ndiye anaifanya united kuwa juu kumbe ni kinyume chake.
Tulipoteza pesa na muda kwa huyu mmakonde mwenzetu kwa kweli
Woodward alimlea sana,angemsikiliza Jose United ingeweza ku-generate hata £130+ kama wangewauza Martial,Lingard & Pogba walivyokuwa wanatakiwa na timu nyingine,now wanaondoka free na wanaeleza jinsi upuuzi tulioufanya kuwalea
 
Wangepiga hela ndefu aisee , jamaa ni manager mzoefu , anajua huyu mchezaji ana future na huyu ni hovyo , alijua hawa madogo chenga sema ndo hvyo yaan , mshikaji wakamfukuza , Ila mda huwa ni mwalimu mzur
 
Nakubali kwamba bado Moriinho alikuwa sahihi Kwa man utd
 
hivi shida nini kwenye usajili au bajet ndogo so inabdi waliewalie sana mana naona wengine wakigusa tu wanabeba kama vitinha huyoo psg
Pamoja na budget kuwa ndogo lakini hii club huwa mara nyingi tu inafail sana kwenye suala la usajili. Wachezaji wengi wanaosajiliwa huwa hawapo kabisa kwenye mipango ya team, ni vile huwa wanapatikana kirahisi tu. Man U hatuna msuli wa kugombania mchezaji mzuri na tukapambana hadi kumpata. Sijui City huwa wanafanyaje aisee hawateseki kabisa wakimtaka mchezaji.
 
View attachment 2255216
Manchester United na mambo ya usajili

IMG_0510.jpg
 
Back
Top Bottom