Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tukianza vizuri huu msimu tutafanya vyema sana maana ratiba ijatubana kwa kutuorodheshea vigogo.
20220616_103457.jpg
 
So far man u ni ile ile

Nadhani mnaelewa vilivyo Brighton alichowafanya juzi kati hapo

Tuweke akiba ya maneno
 
Hili li timu kama mambo ya football yamewashinda achana nayo ,fanyeni mambo mengine ,azinsheni hata timu ya kuogelea ,au mieleka ....uwanja inakuwa hapo hapo OT
 
Hapa sijaelewa kwahyo Pogba alitaka man u wamwongezee salary bila ongezeko ndio akagoma?

Wakati huko kaenda kushusha hata ile salary alikuwa anachukua man u kabla ya ongezeko.
Poga ni li jinga sana yani hafu linasema litaonesha ni jinsi gani tumefanya makosa kutolipa mkataba mpya liende tu miaka6 yote iyo tumeona nini cha ajabu.
20220616_160732.jpg
 
Back
Top Bottom