Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TIMU ZINASAJILI
1. SISI.NYUMBU NI MAJUNGU

2. WACHEZAJI HAWATAKI KICHEZA UROPA

3. TETESI TUNAONGOZA MPKA SASA LAKIN NO ONE SIGNED

4. KOCHA KAPATA DEMU WA KIINGELEZA SHABIKI WA.LIVER NDO KAMZUZUA

5. MSIMU UJAO AMN WA KUMLAUMU TUMEKWISHAAAAAAAAAA

6. MM KAMA SHABIKI WA.MWANTESA UTD NIMEKATA TAMAA.ILA NAIPENDA SANA RED DEVL🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️

NB. PICHA HAIHUSIHANI NA CONTENT
 
Attachments

  • IMG-20220618-WA0001.jpg
    IMG-20220618-WA0001.jpg
    61 KB · Views: 21
Pamoja na budget kuwa ndogo lakini hii club huwa mara nyingi tu inafail sana kwenye suala la usajili. Wachezaji wengi wanaosajiliwa huwa hawapo kabisa kwenye mipango ya team, ni vile huwa wanapatikana kirahisi tu. Man U hatuna msuli wa kugombania mchezaji mzuri na tukapambana hadi kumpata. Sijui City huwa wanafanyaje aisee hawateseki kabisa wakimtaka mchezaji.
Tatizo la man U hawana tu plan B, ila kusema wachezaji wanasajili kirahisi si kweli.

Fred, Maguire, Sanchez na Ronaldo tumewapokonya Man City.

Ibra, Bastian, Pogba, Mkhitaryan, Varane, Sancho, Di maria etc ni wachezaji ambao hakuna Timu kubwa ilikuwa haipo interested ila wamekuja.

Sancho huyu tulimuweka kwenye Radar muda mrefu tu na amekuja kweli.

Tatizo tukiwa tunadeal na Mchezaji mmoja ni huyo huyo tu, mpaka aje ndio tunahamia kwengine,
 
Hilo ndiyo tatizo kubwa. Zamani nilikuwa nahisi ni deal za Edwood kuandaa biashara ya jezi.
 
Pamoja na budget kuwa ndogo lakini hii club huwa mara nyingi tu inafail sana kwenye suala la usajili. Wachezaji wengi wanaosajiliwa huwa hawapo kabisa kwenye mipango ya team, ni vile huwa wanapatikana kirahisi tu. Man U hatuna msuli wa kugombania mchezaji mzuri na tukapambana hadi kumpata. Sijui City huwa wanafanyaje aisee hawateseki kabisa wakimtaka mchezaji.
Man City kitu cha kwanza wana pesa,

Mafanikio yao ya hivi karibuni.

On top of that Wana Pep guardiola
 
@Chief-Mkwawa kamsikilize halafu njoo utupe mrejesho hapa
Nimemsikiliza mkuu, kama hayo maneno hayajakuwa scripted basi jamaa hana siku nyingi kwenye hio siti watamtimua.

To set the story straight... We met with Richard Arnold today after plans to go and protest outside his house got out and somehow got back to him (rats). So he came down to the pub where we were all meeting before going to his, which is also his local.

He gave us a heavily scripted speech which none of us fell for. He said his hands are tied because he's not getting the investment he needs to make Man United great again. He was like another Neil Ashton full of PR nonsense.

What he said, is not so many words, is that attacking sponsors affects the money he needs and that if it carries on, the Glazers have to put their hands in their own pocket (no chance of that). He is there to run Manchester United as a business, not a football club. So the sponsors getting angry at him and affecting his job is something he was trying to put a stop to.

If/when we get new owners in, he knows full well he wouldn't be the CEO. Why the *** would we have a Liverpool fan as a CEO from a Rugby background, not football. He tried, and failed miserably, to make us feel sorry for him.

To summarize: He's not a good guy for getting us a few beers in (he's a multi-millionaire). He says he is against the dividends and doesn't agree with them being taken. He does genuinely want the best for the club but his hands are tied and new owners/protests/sponsor bashing just makes his job harder/obsolete.

He is far, far better than Woodward and will do a better job, but that's not saying much. The only thing is he deserves respect for is coming to chat with a bunch of angry United fan wrong'uns. Apart from that, he's in it for himself and protecting the Glazers means protecting his job and his own interests.

He told it all like a true politician. Waffle, evasiveness and PR. He has confirmed the protests are working and relentless pressure and sponsor bashing will only help get rid of the Glazers. So you know what to do reds:

Bigger and Louder!

Kwa lugha rahisi jamaa walipanga kuandamana nyumbani kwa Arnold (kama walivyofanya kwa Woodward) ila utofauti hapa Woodward alikimbia na Arnold yeye aliwawahi wakaenda Bar kuongea, jamaa anadai kuna mwenzao alimtonya Arnold maandamano kabla hayajaanza.

Jamaa anasema Mikono yake imefungwa Hakuna hela kutoka kwa sponsors hivyo ili tuspend sana inabidi glazers watoe hela zao mfukoni (kitu ambacho hakitatokea) hivyo hatuna Hela za kutosha.

Pia kwenye Tweet Nyengine anasema tayari Official wa utd wapo Barcelona kukamilisha usajili.

Maoni yangu huyu jamaa Either ni mjinga ama ametumwa, ila nahisi hili la kutumwa linamake sense. Sababu Glazer analipwa june 24th wanataka tu watuaminishe timu haina hela, ili tukimsajili De jong ionekane wamejitutumua, na Watamtangaza Tarehe hizo hizo ili kuzima suala la malipo kwa Glazer.
 
Nimemsikiliza mkuu, kama hayo maneno hayajakuwa scripted basi jamaa hana siku nyingi kwenye hio siti watamtimua.

To set the story straight... We met with Richard Arnold today after plans to go and protest outside his house got out and somehow got back to him (rats). So he came down to the pub where we were all meeting before going to his, which is also his local.

He gave us a heavily scripted speech which none of us fell for. He said his hands are tied because he's not getting the investment he needs to make Man United great again. He was like another Neil Ashton full of PR nonsense.

What he said, is not so many words, is that attacking sponsors affects the money he needs and that if it carries on, the Glazers have to put their hands in their own pocket (no chance of that). He is there to run Manchester United as a business, not a football club. So the sponsors getting angry at him and affecting his job is something he was trying to put a stop to.

If/when we get new owners in, he knows full well he wouldn't be the CEO. Why the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala would we have a Liverpool fan as a CEO from a Rugby background, not football. He tried, and failed miserably, to make us feel sorry for him.

To summarize: He's not a good guy for getting us a few beers in (he's a multi-millionaire). He says he is against the dividends and doesn't agree with them being taken. He does genuinely want the best for the club but his hands are tied and new owners/protests/sponsor bashing just makes his job harder/obsolete.

He is far, far better than Woodward and will do a better job, but that's not saying much. The only thing is he deserves respect for is coming to chat with a bunch of angry United fan wrong'uns. Apart from that, he's in it for himself and protecting the Glazers means protecting his job and his own interests.

He told it all like a true politician. Waffle, evasiveness and PR. He has confirmed the protests are working and relentless pressure and sponsor bashing will only help get rid of the Glazers. So you know what to do reds:

Bigger and Louder!

Kwa lugha rahisi jamaa walipanga kuandamana nyumbani kwa Arnold (kama walivyofanya kwa Woodward) ila utofauti hapa Woodward alikimbia na Arnold yeye aliwawahi wakaenda Bar kuongea, jamaa anadai kuna mwenzao alimtonya Arnold maandamano kabla hayajaanza.

Jamaa anasema Mikono yake imefungwa Hakuna hela kutoka kwa sponsors hivyo ili tuspend sana inabidi glazers watoe hela zao mfukoni (kitu ambacho hakitatokea) hivyo hatuna Hela za kutosha.

Pia kwenye Tweet Nyengine anasema tayari Official wa utd wapo Barcelona kukamilisha usajili.

Maoni yangu huyu jamaa Either ni mjinga ama ametumwa, ila nahisi hili la kutumwa linamake sense. Sababu Glazer analipwa june 24th wanataka tu watuaminishe timu haina hela, ili tukimsajili De jong ionekane wamejitutumua, na Watamtangaza Tarehe hizo hizo ili kuzima suala la malipo kwa Glazer.
inamana tukisajili sana ni watu wawili au watatu au ndo huyohuyo de jong ndo imetoka hiyo
 
Cafu : "I am afraid, the more we have Brazilians moving to the Premier league, the less chances for Brazil to win the World cup. Imagine being brainwashed by Gary Neville and his colleagues every week that you are the best in the world, meanwhile you are not near the best.

I prefer La liga, because they have high mentality to reach Finals and win them. In La liga they don't have a mouth in front of TV cameras telling lies about Spanish players or hyping them to the world. They speak football there, not myth.

I overheard them saying that the Liverpool Dreadlock right back is in my level in that right back position . I didn't want to debate , because I knew Vinicius will show the World the truth and he did in Paris "

Omo! This one na finishing oh
 
Back
Top Bottom