Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana mkuu Lloris aliokolea ndani ya box na ilikuwa clear sema after saving aliruka nje ya box.
Kuhusu Young na yenyewe ilikuwa busness as usual kama kawaida ya Young ku-dive so ni ukweli kuwa young alidive na ulikuwa mwendelezo wa Wachezaji wa Man U kwa siku ya jana maana alianza Welbeck, akafuata mwanafunz wa wa Young kwa kudive [Januzaj] mpaka akapewa na kadi kisha akamalizia mwalim wao Young Diver. So msitafute sababu Tafadhari.

Hawa wachezaji qa Manure zile nyasi ya kijani wao wanaziona kama maji ya bahari hivi yaani wao ni kupiga mbizi tu
 
Hahahahaha this must be the best comment of the year so far.

Mkuu wanakwambia siku zote ukiwa umeinama bila kuinua macho juu unaweza dhani upo juu kwenye kilele cha mlima na hiki ndicho kinachowatokea hawa jamaa wameinama hawajainua macho juu so wanaamin wapo kileleni.
 
1514431_885347628172121_1574269980_n.jpg
 
Hapana mkuu Lloris aliokolea ndani ya box na ilikuwa clear sema after saving aliruka nje ya box.

Replays zilionyesha kabisa Lloris alipangua ule mpira nje ya mstari.....kama unawezaa kuangalia tena, ebu angalia chifu...I wish ningekuwekea video clip ya tukio husika....ila I can't find the clip......ila kama unaweza try to watch the match again......

Kuhusu Young na yenyewe ilikuwa busness as usual kama kawaida ya Young ku-dive so ni ukweli kuwa young alidive na ulikuwa mwendelezo wa Wachezaji wa Man U kwa siku ya jana maana alianza Welbeck, akafuata mwanafunz wa wa Young kwa kudive [Januzaj] mpaka akapewa na kadi kisha akamalizia mwalim wao Young Diver. So msitafute sababu Tafadhari.

If you call this diving, well,I am done with you.
8AB8162D057546BDA256E324614EE770.ashx

Hugo Lloris tackle was 'scandalous' - Moyes - YouTube

Even Tim Sherwood admitted that was a clear penalty and a straight red card.

Sherwood agrees with pen shout | Video | Watch TV Show | Sky Sports

If Danny and Young dived, why didn't Webb book them for diving?!
 
Back
Top Bottom