Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mie naona EtH anapenda technically gifted players wenye work rate kubwa lakini ukiangalia Rashford zaidi ya mbio sioni kingine hapo.
Nahisi atamtema jumla au asiwe starter.
Makocha wanaotaka mafanikio huwa wanapenda sana wachezaji ambao wanabahati ya magoli katika mechi muhimu na wenye direct impact kikosini hata akicheza dakika tano tu.

Rashford ni aina hiyo ya mchezaji anaweza asikupe kitu unachokitaka kwa dakika mechi za kawaida ila akakuinua katika mechi zako muhimu.

Katika Career yake Rashford magoli mengi kafunga katika mechi muhimu kama decider wa hatima ya timu, vikosi vyenye kupigania makombe vina aina hiyo ya wachezaji.

Chelsea 1. Marco's Alonso Kai Harvetz.

Man City Riyadh Mahrez, Ikay Gundogan

Liverpool. Origi, Sadio Mane

Tottenham Lucas Moura, Son.

Bayern. Kingsley Coman, Thomas Muller.

PSG Mappe,

Rashford anaangukia kwenye kapu hili la wachezaji ambao kwenye pressure kubwa wanaturn out kuwa messiah.

Kipindi cha Ferguson kila msimu tulikuwa angalau na mchezaji wa aina hii mmoja.

Era 1999. Alikuwa Ole Guner Solkjaer.

2008 tuliposhinda UEFA alikuwa ni Andeson.

2010 alikuwa ni Chicharito.

Nimekuwekea mifano mingi kiasi cha kugusa hata hard working players ila keyword ni mchezaji kuwa na bahati ya kukupa kile unachokitaka katika mazingira ambayo hutegemei akupe.
 
Naangalia hapa fainali ya Championship playoffs huyu James Garner abaki next season. Kwenye set pieces hatari sana, Nottingham wanaongoza baada ya dogo kupiga mpira mzuri na Huddersfield kujifunga.

Bado kuna attack aliizima kwa kufanya tackling ya maana nje ya box tu kuokoa jahazi.
 
Waste of time kusema kweli, na Tetesi za mwishoni kwamba Jamaa alikuwa anamuachia Assitant hazisaidii.

Naona Za Chini ya Kapeti kuna uwezekano Mazungumzo baina ya ETH na RR yamefanya RR aachie ngazi.
In think on the field Ralf Rangnick alifeli sana, but the environment ambayo ameikuta timu ilikuwa ina matatizo mengi sana, kuna ujinga mkubwa ulikuwa unafanyika na management hawakuchukua hatua yeyote.Kwenye interview zake alisaidia sana ku-expose makosa/matatizo yalifanywa huko nyuma na ndio maana nilisema huyu jamaa huenda akafukuzwa kabla mkataba wake haujaisha unless wampige mkwara akae kimya
 
Murtough anampenda sana RR, sidhani kama angemfukuza.

kuna hii tweet

Pengine ETH hataki kuwa na mabosi Wengi ama ana views Tofauti.

Na pia kuna Mambo mengi nyuma ya pazia baadae tutajua tu, Hasa RR alivyokubali kuwa Kocha wa Austria.
 
Ligi sasa zimeisha, msimu ujao ETH atawanyoodha sana wapinzani. Rashford na Sancho watakuwa on form, CR7 atapokea pass nyingi sana nzuri. Yani msimu ujao kama hatujabeba treble sijui.

Tukutane msimu ujao.

GGMU
Mmeanza Sasa siku zote mdomo wenu unawaponza ...cheki kama huyu kigagura
 
Ligi sasa zimeisha, msimu ujao ETH atawanyoodha sana wapinzani. Rashford na Sancho watakuwa on form, CR7 atapokea pass nyingi sana nzuri. Yani msimu ujao kama hatujabeba treble sijui.

Tukutane msimu ujao.

GGMU
😂😂😂 dah, mmeshaanza
 
Waste of time kusema kweli, na Tetesi za mwishoni kwamba Jamaa alikuwa anamuachia Assitant hazisaidii.

Naona Za Chini ya Kapeti kuna uwezekano Mazungumzo baina ya ETH na RR yamefanya RR aachie ngazi.
Kwamba RR alikuwa na nia ya kuendelea ila ETH kasema hamuhitaji?
 
Ligi sasa zimeisha, msimu ujao ETH atawanyoodha sana wapinzani. Rashford na Sancho watakuwa on form, CR7 atapokea pass nyingi sana nzuri. Yani msimu ujao kama hatujabeba treble sijui.

Tukutane msimu ujao.

GGMU
Rashford ? ntahamia liver
 
Naangalia hapa fainali ya Championship playoffs huyu James Garner abaki next season. Kwenye set pieces hatari sana, Nottingham wanaongoza baada ya dogo kupiga mpira mzuri na Huddersfield kujifunga.

Bado kuna attack aliizima kwa kufanya tackling ya maana nje ya box tu kuokoa jahazi.
Mctominay mwengine
 
Makocha wanaotaka mafanikio huwa wanapenda sana wachezaji ambao wanabahati ya magoli katika mechi muhimu na wenye direct impact kikosini hata akicheza dakika tano tu.

Rashford ni aina hiyo ya mchezaji anaweza asikupe kitu unachokitaka kwa dakika mechi za kawaida ila akakuinua katika mechi zako muhimu.

Katika Career yake Rashford magoli mengi kafunga katika mechi muhimu kama decider wa hatima ya timu, vikosi vyenye kupigania makombe vina aina hiyo ya wachezaji.

Chelsea 1. Marco's Alonso Kai Harvetz.

Man City Riyadh Mahrez, Ikay Gundogan

Liverpool. Origi, Sadio Mane

Tottenham Lucas Moura, Son.

Bayern. Kingsley Coman, Thomas Muller.

PSG Mappe,

Rashford anaangukia kwenye kapu hili la wachezaji ambao kwenye pressure kubwa wanaturn out kuwa messiah.

Kipindi cha Ferguson kila msimu tulikuwa angalau na mchezaji wa aina hii mmoja.

Era 1999. Alikuwa Ole Guner Solkjaer.

2008 tuliposhinda UEFA alikuwa ni Andeson.

2010 alikuwa ni Chicharito.

Nimekuwekea mifano mingi kiasi cha kugusa hata hard working players ila keyword ni mchezaji kuwa na bahati ya kukupa kile unachokitaka katika mazingira ambayo hutegemei akupe.
timu yetu imepoteana ndo mana kila mechi ilionekana ya muhimu hata isiyo na umuhimu unasemea penalty ya psg ? hata lukaku amgefunga
 
Ki
wanaotajwa mara kwa mara na waandishi maarufu kwa kuripoti habari za manchester united kama vile james ducker, david ornstein, laurie whitwell, fabrizio romano na wengineo ni :
  1. jurrien timber kutoka ajax (beki wa kati na pembeni)
  2. pau torres kutoka villareal (beki wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama nitakuwa sahihi)
  3. frank de jong kutoka barcelona (kiungo)
  4. darwin nunez kutoka benfica (mshambuliaji, nimeona leo laurie whittwell kwa mara nyengine tena amezungumzia mchakato wa usajili wa darwin nunez unaongozwa na wakala mashuhuri Jorge Mendes

kapu namba 2
  1. kelvin phillips kutoka leeds : zipo tetesi zinazohusu kutakiwa na manchester city inayotafuta viungo wengine wa kuziba nafasi ya fernandinho au gundogan ikiwa ataamua kuondoka. Ningelikuwa kelvin phillips ningelichagua kwenda manchester city kwa sababu sitokuwa mchezaji ninayeangaliwa kwa kila ninachokifanya tofauti na nitapokuwa manchester united. angalia kwa sasa hakuna anayejali bei ya grealish kutokuendana na performance yake lakini mpaka kesho watu wanazungumzia hadithi za ronaldo na kuigharimu kwake dressing room. Kwa hali tuliofikia tunahitaji kila usajili tutakaoufanya utupe majibu bora papo kwa papo kama walivyofanya liverpool kwa sadio mane, robertson, salah, van dijk, konate, diaz. Sidhani kama kelvin phillips anaweza kuingia katika kundi hilo, ni bora akajifiche kwenye kivuli cha ubora wa kikosi cha manchester city
  2. christopher nkunku kutoka leipzig
Kiuhalisia Ronaldo this team ameigharimu timu kuliko margure na wenzie??

Mimi Kwa mtazamo wangu cr7 ndiye ameibeba team na anastahili armband
 
wachezaji wa maana Sana basi tu
Screenshot_20220530-065851.jpg
 
Back
Top Bottom