Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Makocha wanaotaka mafanikio huwa wanapenda sana wachezaji ambao wanabahati ya magoli katika mechi muhimu na wenye direct impact kikosini hata akicheza dakika tano tu.

Rashford ni aina hiyo ya mchezaji anaweza asikupe kitu unachokitaka kwa dakika mechi za kawaida ila akakuinua katika mechi zako muhimu.

Katika Career yake Rashford magoli mengi kafunga katika mechi muhimu kama decider wa hatima ya timu, vikosi vyenye kupigania makombe vina aina hiyo ya wachezaji.

Chelsea 1. Marco's Alonso Kai Harvetz.

Man City Riyadh Mahrez, Ikay Gundogan

Liverpool. Origi, Sadio Mane

Tottenham Lucas Moura, Son.

Bayern. Kingsley Coman, Thomas Muller.

PSG Mappe,

Rashford anaangukia kwenye kapu hili la wachezaji ambao kwenye pressure kubwa wanaturn out kuwa messiah.

Kipindi cha Ferguson kila msimu tulikuwa angalau na mchezaji wa aina hii mmoja.

Era 1999. Alikuwa Ole Guner Solkjaer.

2008 tuliposhinda UEFA alikuwa ni Andeson.

2010 alikuwa ni Chicharito.

Nimekuwekea mifano mingi kiasi cha kugusa hata hard working players ila keyword ni mchezaji kuwa na bahati ya kukupa kile unachokitaka katika mazingira ambayo hutegemei akupe.
Mhuu Anderson hajawahi kuwa na calibre hiyo. Ukiondoa Ole na Javier labda kidogooo huyo Marcus
 
Siku Rangnickeledeon anakubali kwenda Austria nikasema timu inaenda shimoni zaidi kwakua hata anayetakiwa kua mshauri hana imani na project nikaambiwa mshauri anaweza akawa kocha huku anashauri.

Leo yametimia. Kwanza nilikua sahihi siku zote nilivyosema united shida ni makocha na siyo wachezaji, timu ikiwa na world class players watano tu hiyo timu itasumbua nje ndani sasa united inao 7 au zaidi lakini performance ni comedy.

Nyinyi kocha wa kuja hapo alitakiwa awe Gasperini anakupa assignment unamletea drama anakubonda. Muulizeni Papu Gomez anamjua huyo mtu
 
Trust the process
 
Andy O'boyle ndiye deputy football director wa manchester united, kabla ya uteuzi huo alikuwa anafanya kazi ya head of elite performance wa premier league. Kazi yake ilihusu zaidi utoaji wa ushauri kwa vilabu juu ya swala zima la recruitment ya wachezaji, analysis n.k. Karibu manchester united Andy
 
Ligi sasa zimeisha, msimu ujao ETH atawanyoodha sana wapinzani. Rashford na Sancho watakuwa on form, CR7 atapokea pass nyingi sana nzuri. Yani msimu ujao kama hatujabeba treble sijui.

Tukutane msimu ujao.

GGMU
Msimu ujao hata europa conference cup hamuendi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom