Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

timu yetu imepoteana ndo mana kila mechi ilionekana ya muhimu hata isiyo na umuhimu unasemea penalty ya psg ? hata lukaku amgefunga
Kwenye football huwa sipendi sana kutumia assumptions kama hii ya kwako.
 
Kazi hasa ya Technical Director ni ipi ambayo anaishikilia Darren Fletcher?

Ina utofauti upi na kazi ya Director of Football?
 
Kwaheri pogba daima sitakukumbuka.
Screenshot_20220601-145441.jpg
 
Hivi hii timu inapambana kumsajili De Jong wa nn?, Wakati haitaki timu, wamekosa wachezaji wengine wa kawaida wa kusajili?
Kama ambavyo huamini de Jong kuja United unapaswa kuamini pia anaweza kuja. Taarifa za usajili unapaswa kuzichukua tu kama zilivyo maana kuna za kweli na uongo. Hakuna anayejua muafaka wa de Jong zaidi yake mwenyewe na timu zote mbili.

Leo ndiyo nimeona kwa Fabrizio United wameanza mazungumzo, hata de Jong kwenye mahojiano yake alisema hakuna taarifa ya uhamisho aliyopokea kutoka kwa timu yake zaidi ya yeye kusikia tetesi. Habari nyingi zinaandikwa kuhusu United kwasababu ndiyo zinauza, pia de Jong aliulizwa kama aliwasiliana na ten Hag na akasema hata akiongea naye hawezi kusema lakini tayari kuna vyombo mbalimbali vimesharipoti wawili hao wana mawasiliano kuhusu uhamisho.

de Jong ndiyo #1 target kwenye midfield msimu huu ndiyo maana wana-push, ishu ya de Jong kupendelea kubaki Barca ameweka wazi ndiyo ilikuwa klabu ya ndoto zake lakini amesema hata akihama timu hawezi kwenda na mawazo kwamba hawezi kucheza kwa 100% kwenye timu mpya. Barca wanataka pesa, United wanatafuta agreements. I see it happening, wengi hatukutegemea move ya Messi na ilitokea.
 
Kama ambavyo huamini de Jong kuja United unapaswa kuamini pia anaweza kuja. Taarifa za usajili unapaswa kuzichukua tu kama zilivyo maana kuna za kweli na uongo. Hakuna anayejua muafaka wa de Jong zaidi yake mwenyewe na timu zote mbili.

Leo ndiyo nimeona kwa Fabrizio United wameanza mazungumzo, hata de Jong kwenye mahojiano yake alisema hakuna taarifa ya uhamisho aliyopokea kutoka kwa timu yake zaidi ya yeye kusikia tetesi. Habari nyingi zinaandikwa kuhusu United kwasababu ndiyo zinauza, pia de Jong aliulizwa kama aliwasiliana na ten Hag na akasema hata akiongea naye hawezi kusema lakini tayari kuna vyombo mbalimbali vimesharipoti wawili hao wana mawasiliano kuhusu uhamisho.

de Jong ndiyo #1 target kwenye midfield msimu huu ndiyo maana wana-push, ishu ya de Jong kupendelea kubaki Barca ameweka wazi ndiyo ilikuwa klabu ya ndoto zake lakini amesema hata akihama timu hawezi kwenda kwa mawazo kwamba siwezi kucheza kwa 100% kwenye timu mpya. Barca wanataka pesa, United wanatafuta agreements. I see it happening, wengi hatukutegemea move ya Messi na ilitokea.
De jong naona kama midfielder mwepesi sana kwa ligi ya England tunaitaji kiungo kama ruben neves wa Wolverhampton yule hawa de jong anautofauti gani na fred jamani naona hata fred ni mkali kwa de jong.
 
Fred kwenye kikosi cha kwanza cha EtH hata namba anaweza asipate, mchezo wa possession hauhitaji mapepe miguuni. de Jong siyo mchezaji wa kumfananisha na Fred. EtH hachezi na lone CDM so obviously kutakuwa na ujio wa DM pia. Yani kiuhalisia hata Bruno asipoangalia namba 10 anaweza kucheza VdB.
 
Back
Top Bottom