Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shida ni Uingereza wake ndo unaompa kichwa. Afadhali hata alivyoachwa timu ya Taifa ili ajitafakari.
Na hakuachwa kwa bahati mbaya kwenye kikosi cha kwanza cha England. Pamoja na kuwa mchezaji wetu aliyefanya vizuri kwenye msimu uliokuwa umemalizika lakini alionekana hana namba kwenye ile timu ya waingereza tupu.

Rashford ni mzuri lakini hatakiwi kuanza kwenye kikosi chetu cha kwanza kama tunataka kwenda mbele zaidi.
 
1. CDM . Kwangu mimi naona hawa wanafaa kutuokoa.1. Kondogbia 2. Emile Hojberg au Norgad japo Norgad tunaweza kumleta kama Squad player.

2. CM replacement ya Pogba na Jese Lingard kwangu mimi namuona Sergej Millinkovic Savic, Philip Kostic.

3. Right back, Ashraf Hakimi, Robin Gossen, au Alex Maehle. Maehle anaweza kucheza nafasi tatu fullbacks zote na center back.

4. Left back bado naendelea kuwapa benefit of doubt Luke Shaw na Alex Telles. Lakini kama tunataka left back full package ni Theo Hernandez wa Ac Milan.

5. Central striker hapa kwangu mimi pendekezo langu ni Patrick Shick kama hatutaweza kumsajili Harry Kane, wengi wa mashabiki wa United wanamtaka Nunez nikiri wazi simfahamu.

Kwenye wings bado nina imani na Sancho na Rashford watarudisha makali yao.
Safi! Ila kwa dirisha hili sidhani kama tutasajili full back za maana. Theo na Hakimi ni options nzuri sana, top quality players ila kuwatoa vilabu walivyopo unahitaji nguvu zaidi ya pesa.

Kwa Patrik Schick nakumbuka niliona kuwa ana mkataba au offer ya mkataba mpya mezani niliona tu Twitter ila sikufatilia hiyo habari. Kwa Kane sidhani kama inawezekana ukizingatia kuna serious project chini ya Conte, pia Spurs watahitaji pesa nyingi na tunahitaji pesa nyingi pia kuboresha maeneo mengi. Too bad sokoni hakuna options za maana kwenye eneo la striker.
 
Naamini kocha akiwa hana mentality za kusajili waingereza kuna vipaji vingi outside the like of Bruno or Diaz.

Kinachohitajika ni eagle eye tu hata hivyo ETH anaweza kupata watakaomfit haraka maana falsafa yake ipo clear!!
 
Are you confidently going next season with these CBs we have?..Maguire,Varane (Pancha),Bailly(Maji kujaa na kupwaa) na Lindelof??
Center backs wetu siyo wabaya sana ila tatizo kubwa timu yetu haikuwa na DM na ilikuwa inacheza vibaya sana as a team. Kiasi cha kuifanya iwe exposed sana kwenye defence.
 
Safi! Ila kwa dirisha hili sidhani kama tutasajili full back za maana. Theo na Hakimi ni options nzuri sana, top quality players ila kuwatoa vilabu walivyopo unahitaji nguvu zaidi ya pesa.

Kwa Patrik Schick nakumbuka niliona kuwa ana mkataba au offer ya mkataba mpya mezani niliona tu Twitter ila sikufatilia hiyo habari. Kwa Kane sidhani kama inawezekana ukizingatia kuna serious project chini ya Conte, pia Spurs watahitaji pesa nyingi na tunahitaji pesa nyingi pia kuboresha maeneo mengi. Too bad sokoni hakuna options za maana kwenye eneo la striker.
Easy target ni Patrick Schick na Nunez
 
Vipi Lautaro Martinez ?
 
1. CDM . Kwangu mimi naona hawa wanafaa kutuokoa.1. Kondogbia 2. Emile Hojberg au Norgad japo Norgad tunaweza kumleta kama Squad player.

2. CM replacement ya Pogba na Jese Lingard kwangu mimi namuona Sergej Millinkovic Savic, Philip Kostic.

3. Right back, Ashraf Hakimi, Robin Gossen, au Alex Maehle. Maehle anaweza kucheza nafasi tatu fullbacks zote na center back.

4. Left back bado naendelea kuwapa benefit of doubt Luke Shaw na Alex Telles. Lakini kama tunataka left back full package ni Theo Hernandez wa Ac Milan.

5. Central striker hapa kwangu mimi pendekezo langu ni Patrick Shick kama hatutaweza kumsajili Harry Kane, wengi wa mashabiki wa United wanamtaka Nunez nikiri wazi simfahamu.

Kwenye wings bado nina imani na Sancho na Rashford watarudisha makali yao.
Mkuu Schick kaongeza mkataba, same na Theo Hernandez anasaini soon contract extension
 
Jina la ngolo kante linaendelea kujadiliwa klabuni, khofu juu ya usajili wake ni suala la umri wake na afya yake. Ngolo amekuwa akipata majeruhi ya mara kwa mara kwa siku za karibuni. Hii taarifa ya ngolo kante imeripotiwa na laurie whittwell(tier 1) na waandishi wengineo. Thamani yake pia inategemewa kuwa ndogo kwa sababu amebakiwa na mwaka kwenye mkataba wake. Je wewe wamuonaje ngolo kante?
 
Kalvin phillips pia anafuatiliwa lakini usajili wake haupewi nguvu sana ni kutokanwa na upinzani wa jadi uliopo kati ya leeds na manchester united. Kwa hali inavyokwenda man utd wana mipango ya kusajili viungo wawili na mmoja wao ni frankie de jong.
 
Thamani ya darwin nunez na khofu ya kushindwa kuendeleza makali yake ya msimu huu yanawaweka katika hali ya khofu timu ya usajili, je waingie au wamsubirie tena kwa mwaka mmoja?
 
tetesi za ngolo kante zimewagawa mashabiki, wengine wanalalamikia umri wake na afya yake. wengine wanasema hakuna shida kama atasajiliwa kwa bei ya chini ya paundi million 20. man utd wanamuangalia alvarez wa ajax ambaye pia ni DM.
 
Back
Top Bottom