Dah sijajua mkuu ngoja niingie liveskooHivi mechi yetu saa ngapi mkuu!?
HAHAHAH! Ile mechi ya Brighton ndiyo ilikuwa ya kutupeleka Europa. Mechi ya mwisho kwa Palace, hahaha.Juzi nilisema hapa kama United wanataka kujihakikishia Europa League basi wapate angalau point 1 kwenye mechi ya Brighton na nilijua kabisa kwa jinsi timu inavyocheza ni ngumu kupata points 3. Kwa hali ilivyo wangefanikiwa kupata point 1 matumaini yetu tungewaachia City ambao bila shaka wasingetuangusha.
Kama tungefanikiwa kupata point 1 maana yake tungesubiri tu West Ham afungwe na City na tungekuwa tumeshafuzu UEL. Sasa hali ilivyo sasa endapo tutafungwa na Palace na West Ham akamfunga Brighton ni wazi tutatolewa kwa Goal difference na kuna possibility kubwa United hataondoka na points 3 kwa Palace na kama West Ham atapata droo game ya City (which is possible) game ya mwisho pressure itakuwa juu zaidi na tumeshaona kikosi tulichonacho hakiwezi ku-handle games zenye pressure kubwa so nategemea game ngumu zaidi na Palace hawana cha kupoteza so wata-relax na watakuwa na utulivu zaidi.
The best 007 uliuliza EtH anakuja lini mwezi uliopita.May 16
Kwa nini tusiende kushiriki endapo tutafuzu? Ukiona noti ya $100 chini utaiacha kisa account yako ina $100k?Mtaenda kushiriki Europe Conference League au hamtaenda ?
upo uwezekano wa kuangalia mechi ya crystal palace, sijajua kama ataendelea kuwepo uingereza au ataiangalia akiwa netherland. nimtakie kila la kheri katika majukumu yake anayoanza leo.The best 007 uliuliza EtH anakuja lini mwezi uliopita.
Liva ana matumaini gani bro wakati hata akishinda anakua na points 89 huku city ana 90? Na game ya mwisho City anacheza na Villa.west ham amempa matumaini liverpool dhidi ya man city kwenye mbio za ubingwa, man city amempa matumaini man utd dhidi ya west ham mbio za europa.
hahahahaa huwezi jua pengine msimu huu manchester city ndio watakaogeuziwa kibao kwa kufungwa goli dakika ya 94 ndani ya etihad na mfungaji ni coutinho huku msherehekeaji ni gerrard. Hata tulipocheza na everton wao walipumzika siku 2 huku man utd wakipumzika kwa takribani wiki moja na bado everton wakawa bora ndani ya uwanja. Ni rahisi kwa brighton kumsimamisha west ham kuliko man utd hii kuambulia alama 3 dhidi ya palace.Liva ana matumaini gani bro wakati hata akishinda anakua na points 89 huku city ana 90? Na game ya mwisho City anacheza na Villa.
Kama mkashindwa kumfunga Palace na Hammers wakashinda mechi ya mwisho lazima memes zitolewe kuonyesha city ilifanya makusudi suluhu dhidi ya Hammers ili kuhakikisha united anaenda conference league.
Advantage mliyo nayo United ni kwamba mmepumzika almost wiki mbili kabla ya kukutana na Palace ambao watakua wamepumzika siku mbili kabla ya kukutana na nyinyi.
wakati man utd na arsenal wanapata ubingwa kwa alama 70 hadi 80 wao liverpool walikuwepo wapi?So what? That does not justify that you are losing the league, this year.
Ila kiukweli natamani muende conference leaguehahahahaa huwezi jua pengine msimu huu manchester city ndio watakaogeuziwa kibao kwa kufungwa goli dakika ya 94 ndani ya etihad na mfungaji ni coutinho huku msherehekeaji ni gerrard. Hata tulipocheza na everton wao walipumzika siku 2 huku man utd wakipumzika kwa takribani wiki moja na bado everton wakawa bora ndani ya uwanja. Ni rahisi kwa brighton kumsimamisha west ham kuliko man utd hii kuambulia alama 3 dhidi ya palace.
Ila hata Arsenal kwa kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE bado wamekaaa kiEuropa EuropaIla kiukweli natamani muende conference league
True. Hichi kikosi siyo cha kwenda nacho CLIla hata Arsenal kwa kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE bado wamekaaa kiEuropa Europa