Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,432
- 2,533
Mkuu katika hiyo video za wachezaji wa Ajax current na waliopita hebu ona alichosema De light
Mkuu katika hiyo video za wachezaji wa Ajax current na waliopita hebu ona alichosema De light
Mimi nasema na narudia tusinge droo na kufungwa mechi mbili tatu na timu zisizokuwa na mbele Wala nyuma tungekuwa na Afya kwenye msimamo.Wadau mwenye group la wasp la man u naomba aniunge ni muhimu sn
Namba 0625850301
Lkn pia naomba niongelee ujio wa ten hag kidogo
Najua mashabiki wenzangu wengi wa man u tumekata tamaaa sn lakn ngoja nikwambie kitu kuhusu huyu jamaa
1.Kama ameweza fanya vizur kwa kikos cha ajax licha ya kuondokewa na wachezaji mwanzon bas ni kocha sahihi pale ot
2.akipata watu sahihi wanne watakaosaidiana na wakikos kilichopo sina shaka na uwezo wake na atafanikiwa
3.anafundisha mpira wa pressing kitu ambacho ndo mpira wa kisasa,kama akileta ule mpira wa ajax pale ot na wachezaji tulionao bas sina shaka watu watatuongelea vingine msimu unaokuja
4.bodi ya utd imuachie jamaa uhuru kama mtu hatakiwi bas aondoke lkn pia jamaa ahusishwe na mchezaji yoyote anaeingia ama kutoka pale nadhan ni moja ya mkataba wake pale ot aliongia pale lkn kama mabos watafanya kama mkataba unavosema bas sina shaka kuwa tutakuwa na msim mzur
5.jamaa ni muumin wa vijana na nadhan utd pale kuna damu changa nying zina uwezo mkubwa na kama atatutumia damu changa nying zilizopo bas jamaa atatisha na uzur kasema yupo tayar kuijenga timu kupitia vijana waliopo pale utd na kasema lazima atawafanya wawe bora za ya hapo na mm nina uwakika na hilo na sina shaka na uwezo wa ten hag
6.jamaa ni mwanafunzi mzur wa pep na yy mwenyewe anadai kajifunza menfi sn toka kwa pep hasa pale alipokuwa bayern kwenye team ya reserve lkn pia ni mtu anaemkubali sn klopp hasa baada ya kugundua mbinu fulan klopp anazozitumia anadai hio ni kwasbb ya jamaa kuamin mbinu fulan zinazotumiwa na team nyingi pale ujeruman hasa kwenye suala la physic na yy anadai amefaidika sn na kukaa pale ujeruman kwan kumemuongezea kitu kikubwa sn
Naomba kuwasilisha kwa wadau wenzangu wa man utd,tuanze kutoa jez zetu tulizozificha mana msimu ujao ni wakat wa jezi zetu kuonekana tena
Unataka matusi tu Huna lolote[emoji23][emoji23][emoji38]View attachment 2227016
Kijana anaupiga mwingi sema wakati mwingine anakuwa careless kama PogbaKazi yangu ni kusifu na kuponda kwa kutumia jicho langu. Huyu ni pogba ajaye kiufundiView attachment 2227435
Nyie mutaenda Europa au hamutaenda😂😂😂🤣🤣Mtaenda kushiriki Europe Conference League au hamtaenda ?
Ile timu bado Sana kucheza uefa, eti wanamchezaji anaitwa lokonga jina kaa mizizi ya dawa halafu wanataka UEFA kweli..?!! Huu siyo uungwana kabisaIla hata Arsenal kwa kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE bado wamekaaa kiEuropa Europa
Aje haraka sana. Tuanze mipango.Kesho atakuwa amesharipoti.
Hana likizo.
Utakuwa na unauelewa mdogo sana wa masuala ya mpira na michezo kwa ujumla. Si kwa ubaya hufahamu unachokizungumza.Advantage mliyo nayo United ni kwamba mmepumzika almost wiki mbili kabla ya kukutana na Palace ambao watakua wamepumzika siku mbili kabla ya kukutana na nyinyi.
Na hii ndiyo sababu ya bench kuzoofisha kiwango cha mchezaji.Utakuwa na unauelewa mdogo sana wa masuala ya mpira na michezo kwa ujumla. Si kwa ubaya hufahamu unachokizungumza.
Mchezo wowote ule wa ushindani kadri unavyozidi kukaa muda mrefu bila kucheza mchezo wa ushindani unakuwa ktk mazingira hatari zaidi.
Ukiwa unafanya training kila siku na wachezaji wale wale mnakuwa na maelekezo yale yale ya aina moja. Ni tofauti kabisa ukicheza na watu wenye maelekezo tofauti na wewe (timu pinzani). Kuna ssb kwa nn kila wiki unapaswa kucheza mechi na sio baada ya wiki 2.
pre season tuna liverpoolDaah ndo tunaenda pata furaha ya mwisho wiki hii ndo itakuwa basi mpaka msimu ujao[emoji26][emoji26]
Usijali sana mwaka huu hatuishi kiunyonge, muda mfupi tu baada EPL kuisha unaanza mchaka mchaka wa World Cup, kama kawaida tunaendelea kuwaona kina Maguire.Daah ndo tunaenda pata furaha ya mwisho wiki hii ndo itakuwa basi mpaka msimu ujao[emoji26][emoji26]
Kombe la dunia mwaka huu linaanza November 21.Mpaka kombe la dunia linaisha ligi kuu nayo inakua imekaribia kuanza.
Kazi yangu ni kusifu na kuponda kwa kutumia jicho langu. Huyu ni pogba ajaye kiufundiView attachment 2227435
Jombaa WC mwaka huu ipo mwezi wa 12.Usijali sana mwaka huu hatuishi kiunyonge, muda mfupi tu baada EPL kuisha unaanza mchaka mchaka wa World Cup, kama kawaida tunaendelea kuwaona kina Maguire.
Mpaka kombe la dunia linaisha ligi kuu nayo inakua imekaribia kuanza.
Tunapumzika mwezi mmoja tu. Mwezi wa 7 pre-season inaanza.Daah ndo tunaenda pata furaha ya mwisho wiki hii ndo itakuwa basi mpaka msimu ujao[emoji26][emoji26]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Jombaa WC mwaka huu ipo mwezi wa 12.
Mbona ameshaanza mipango?Aje haraka sana. Tuanze mipango.