Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Yani afe kipa afe Beki musikubali kwenda Conference League ni aibu.
Na Kupumzika kote huko Utashangaa ana fungwaLiva ana matumaini gani bro wakati hata akishinda anakua na points 89 huku city ana 90? Na game ya mwisho City anacheza na Villa.
Kama mkashindwa kumfunga Palace na Hammers wakashinda mechi ya mwisho lazima memes zitolewe kuonyesha city ilifanya makusudi suluhu dhidi ya Hammers ili kuhakikisha united anaenda conference league.
Advantage mliyo nayo United ni kwamba mmepumzika almost wiki mbili kabla ya kukutana na Palace ambao watakua wamepumzika siku mbili kabla ya kukutana na nyinyi.
simfuatiliaji wa mechi zenu kama mulivyo washabiki wa hiyo timu ila kwa mechi chache nilizoziangalia nafikri mechi 5 kuna maamuzi munayotaka kuyafanya siku za mbeleni yananipa wasiwasi(sina chuki na timu yenu kwani nimewaona tokea 2001 mukiwa bora), kama nitakuwa sipo sahihi naomba unisahihishe. (a) kwa nini munataka kumpa mkataba elneny, ana kitu gani special kama mchezaji wa timu kubwa. (b) kwa nini munamtaka tielemans, je wamuonaje kiwango chake na arsenal unayoitamani wewe kwenye macho yako. (c) kwa nini mkamsajili saliba, je unadhani atakuwa na impact kwenye kikosi chenu, huyu jamaa nilimuona juzi kwa dakika 45 walipocheza dhidi ya rennes. Ni mrefu na amenivutia kimwili alishinda baadhi ya aerial duels, kwa jicho langu namuona mguuni si hodari sana mfano wa van virgil. Anafaa kucheza timu inayomiliki mpira, inayosogea mbele mfano liverpool wakati mfumo wenu nauona kama ni tofauti, kwa timu zinazocheza higher line sidhana kama mupo ndani ya top 5 kitakwimu, unadhani anaweza kumuondoa ben white. (d) unamuonaje tomiyasu kwenye sura ya modern fullback, je anafaa kuwa first eleven kwa misimu mengineyo miwili. Kuna takwimu za mabeki wa pembeni wa timu 6, kuna maeneo tomiyasu amezidiwa hata na diogo dalot kama nitakuwa sahihi. Huku cancelo, james na trent wakiwa kwenye ligi ya peke yao. (e) kama wewe ndiye arteta ungeliwalenga wachezaji gani ili kuzidisha ubora wa kikosi. (f) unamuonaje tavarez kwenye ulimwengu wa jicho na si stats and tactics, kuna mwenzako hupenda kujificha kwenye ukosefu wa uzoefu wa mchezaji ndio huzalisha presha pindi anapocheza tough match, je unakubaliana na mtazamo huo kwa kesi ya tavarez na wengineo. Unadhani ni mchezaji sahihi wa kuwa kikosi cha kwanza, tierney amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara.True. Hichi kikosi siyo cha kwenda nacho CL
ni fedheha kwa ukubwa wa jina ila kwa kiwango tulichokionyesha tunastahili kwenda huko. Palace akitufunga bila ya kuambulia goli tunamaliza msimu na GD 0 au negative (deni).Ila kiukweli natamani muende conference league
Haya ni maoni yangu. Hakuna verified hata moja.simfuatiliaji wa mechi zenu kama mulivyo washabiki wa hiyo timu ila kwa mechi chache nilizoziangalia nafikri mechi 5 kuna maamuzi munayotaka kuyafanya siku za mbeleni yananipa wasiwasi(sina chuki na timu yenu kwani nimewaona tokea 2001 mukiwa bora), kama nitakuwa sipo sahihi naomba unisahihishe. (a) kwa nini munataka kumpa mkataba elneny, ana kitu gani special kama mchezaji wa timu kubwa. (b) kwa nini munamtaka tielemans, je wamuonaje kiwango chake na arsenal unayoitamani wewe kwenye macho yako. (c) kwa nini mkamsajili saliba, je unadhani atakuwa na impact kwenye kikosi chenu, huyu jamaa nilimuona juzi kwa dakika 45 walipocheza dhidi ya rennes. Ni mrefu na amenivutia kimwili alishinda baadhi ya aerial duels, kwa jicho langu namuona mguuni si hodari sana mfano wa van virgil. Anafaa kucheza timu inayomiliki mpira, inayosogea mbele mfano liverpool wakati mfumo wenu nauona kama ni tofauti, kwa timu zinazocheza higher line sidhana kama mupo ndani ya top 5 kitakwimu, unadhani anaweza kumuondoa ben white. (d) unamuonaje tomiyasu kwenye sura ya modern fullback, je anafaa kuwa first eleven kwa misimu mengineyo miwili. Kuna takwimu za mabeki wa pembeni wa timu 6, kuna maeneo tomiyasu amezidiwa hata na diogo dalot kama nitakuwa sahihi. Huku cancelo, james na trent wakiwa kwenye ligi ya peke yao. (e) kama wewe ndiye arteta ungeliwalenga wachezaji gani ili kuzidisha ubora wa kikosi. (f) unamuonaje tavarez kwenye ulimwengu wa jicho na si stats and tactics, kuna mwenzako hupenda kujificha kwenye ukosefu wa uzoefu wa mchezaji ndio huzalisha presha pindi anapocheza tough match, je unakubaliana na mtazamo huo kwa kesi ya tavarez na wengineo. Unadhani ni mchezaji sahihi wa kuwa kikosi cha kwanza, tierney amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara.
Kesho atakuwa amesharipoti.The best 007 uliuliza EtH anakuja lini mwezi uliopita.
Mkuu arsenal tupo kwenye right track.simfuatiliaji wa mechi zenu kama mulivyo washabiki wa hiyo timu ila kwa mechi chache nilizoziangalia nafikri mechi 5 kuna maamuzi munayotaka kuyafanya siku za mbeleni yananipa wasiwasi(sina chuki na timu yenu kwani nimewaona tokea 2001 mukiwa bora), kama nitakuwa sipo sahihi naomba unisahihishe. (a) kwa nini munataka kumpa mkataba elneny, ana kitu gani special kama mchezaji wa timu kubwa. (b) kwa nini munamtaka tielemans, je wamuonaje kiwango chake na arsenal unayoitamani wewe kwenye macho yako. (c) kwa nini mkamsajili saliba, je unadhani atakuwa na impact kwenye kikosi chenu, huyu jamaa nilimuona juzi kwa dakika 45 walipocheza dhidi ya rennes. Ni mrefu na amenivutia kimwili alishinda baadhi ya aerial duels, kwa jicho langu namuona mguuni si hodari sana mfano wa van virgil. Anafaa kucheza timu inayomiliki mpira, inayosogea mbele mfano liverpool wakati mfumo wenu nauona kama ni tofauti, kwa timu zinazocheza higher line sidhana kama mupo ndani ya top 5 kitakwimu, unadhani anaweza kumuondoa ben white. (d) unamuonaje tomiyasu kwenye sura ya modern fullback, je anafaa kuwa first eleven kwa misimu mengineyo miwili. Kuna takwimu za mabeki wa pembeni wa timu 6, kuna maeneo tomiyasu amezidiwa hata na diogo dalot kama nitakuwa sahihi. Huku cancelo, james na trent wakiwa kwenye ligi ya peke yao. (e) kama wewe ndiye arteta ungeliwalenga wachezaji gani ili kuzidisha ubora wa kikosi. (f) unamuonaje tavarez kwenye ulimwengu wa jicho na si stats and tactics, kuna mwenzako hupenda kujificha kwenye ukosefu wa uzoefu wa mchezaji ndio huzalisha presha pindi anapocheza tough match, je unakubaliana na mtazamo huo kwa kesi ya tavarez na wengineo. Unadhani ni mchezaji sahihi wa kuwa kikosi cha kwanza, tierney amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara.

Alooo ni kitambo sana huyu mwamba kuonekana humu..
hiyo paragraph ya mwisho futa. Ndani yake Ina dhihaka isiyo umiza. Jicho langu kwenye uchambuzi wa mifumo na mbinu za kiuchezaji ni dhaifu sana hivyo sina budi kukubaliana na hayo mawazo yenu kwa sasa. Hayo mambo ya inverted fullback siyaelewi kabisaa. Nimeona mmefanya usajili wa marquinhos, ngoja nikipata bando nikamchungulie youtube.Mkuu arsenal tupo kwenye right track.
Elneny sio mchezaji mbaya anapewa mkataba mpya sababu atatupa depth msimu ujao.
Tielemans ni mzuri in possession (LCM). Anacheza vizuri zaidi kwenye 2nd & 3rd phases, two footed player, mzuri pia kwenye ball striking, technical ability kuifanya Arsenal kucheza zaidi kwenye half ya mpinzani, ana matatizo yake off the ball ila paka Arteta anamhitaji ni kwamba Arsenal's strucure inaexploit matatizo aliyonayo.
Saliba, ligue 1 young Player of the year, jaribu kumuangalia tena kiufundi.
Tomiyasu ni inverted fullback, anacheza zaidi kwenye half space, moja ya kitu anachozidiwa na hao wengine ni cross, sio mzuri kwa kupiga cross from the half space ila from the touchline anafanya poa, bado ana 23 so anafundishika, ana tatizo zaidi offensive wise kuliko defensive wise. Ubora wake anatumia miguu yote sawa kama Santi Carzola.
Nuno tavarez ana mental issues, anaonekana hafundishiki kwa haraka kama wengine, that's why Arsenal wamemsajili hickey kama backup ya Tierney.
Naelewa kwanini unatilia shaka maamuzi ya Arsenal kwenye usajili, Kwa shabiki wa Man united mchezaji asiye na jina(star) sio mchezaji mzuri, ila mpira umebadilika coz game imekuwa advanced zaidi tactically, that's why maana united ina mastar ila haifanyi vizuri.![]()
Marquinhos ni future prospect, nimesikia atatolewa mkopo, bado ukimuangalia vizuri anamiss out kwenye tactical education, ila ana kipaji na physique ya kucheza EPL.hiyo paragraph ya mwisho futa. Ndani yake Ina dhihaka isiyo umiza. Jicho langu kwenye uchambuzi wa mifumo na mbinu za kiuchezaji ni dhaifu sana hivyo sina budi kukubaliana na hayo mawazo yenu kwa sasa. Hayo mambo ya inverted fullback siyaelewi kabisaa. Nimeona mmefanya usajili wa marquinhos, ngoja nikipata bando nikamchungulie youtube.
Ten hag ni top coach, elite coach, lakini swali la kumuuliza je ataweza kuhandle dressiing room ya united if things are getting worse? Mikel Arteta aliweza, kazi kwake. Ukilose dressing room kama kocha you're fired. Bahati yake ni kuwa toxic player kama Pogba wanaondoka.Wadau mwenye group la wasp la man u naomba aniunge ni muhimu sn
Namba 0625850301
Lkn pia naomba niongelee ujio wa ten hag kidogo
Najua mashabiki wenzangu wengi wa man u tumekata tamaaa sn lakn ngoja nikwambie kitu kuhusu huyu jamaa
1.Kama ameweza fanya vizur kwa kikos cha ajax licha ya kuondokewa na wachezaji mwanzon bas ni kocha sahihi pale ot
2.akipata watu sahihi wanne watakaosaidiana na wakikos kilichopo sina shaka na uwezo wake na atafanikiwa
3.anafundisha mpira wa pressing kitu ambacho ndo mpira wa kisasa,kama akileta ule mpira wa ajax pale ot na wachezaji tulionao bas sina shaka watu watatuongelea vingine msimu unaokuja
4.bodi ya utd imuachie jamaa uhuru kama mtu hatakiwi bas aondoke lkn pia jamaa ahusishwe na mchezaji yoyote anaeingia ama kutoka pale nadhan ni moja ya mkataba wake pale ot aliongia pale lkn kama mabos watafanya kama mkataba unavosema bas sina shaka kuwa tutakuwa na msim mzur
5.jamaa ni muumin wa vijana na nadhan utd pale kuna damu changa nying zina uwezo mkubwa na kama atatutumia damu changa nying zilizopo bas jamaa atatisha na uzur kasema yupo tayar kuijenga timu kupitia vijana waliopo pale utd na kasema lazima atawafanya wawe bora za ya hapo na mm nina uwakika na hilo na sina shaka na uwezo wa ten hag
6.jamaa ni mwanafunzi mzur wa pep na yy mwenyewe anadai kajifunza menfi sn toka kwa pep hasa pale alipokuwa bayern kwenye team ya reserve lkn pia ni mtu anaemkubali sn klopp hasa baada ya kugundua mbinu fulan klopp anazozitumia anadai hio ni kwasbb ya jamaa kuamin mbinu fulan zinazotumiwa na team nyingi pale ujeruman hasa kwenye suala la physic na yy anadai amefaidika sn na kukaa pale ujeruman kwan kumemuongezea kitu kikubwa sn
Naomba kuwasilisha kwa wadau wenzangu wa man utd,tuanze kutoa jez zetu tulizozificha mana msimu ujao ni wakat wa jezi zetu kuonekana tena
Youtube hakuna mchezaji mbaya.hiyo paragraph ya mwisho futa. Ndani yake Ina dhihaka isiyo umiza. Jicho langu kwenye uchambuzi wa mifumo na mbinu za kiuchezaji ni dhaifu sana hivyo sina budi kukubaliana na hayo mawazo yenu kwa sasa. Hayo mambo ya inverted fullback siyaelewi kabisaa. Nimeona mmefanya usajili wa marquinhos, ngoja nikipata bando nikamchungulie youtube.
Alikua na msaada wa kuwadhibiti wahamiaji haramu humu.Alooo ni kitambo sana huyu mwamba kuonekana humu..
Jamaaa keshaadress hilo na amegundua ndio kitu kikubwa kinachoifelisha man u,Ten hag ni top coach, elite coach, lakini swali la kumuuliza je ataweza kuhandle dressiing room ya united if things are getting worse? Mikel Arteta aliweza, kazi kwake. Ukilose dressing room kama kocha you're fired. Bahati yake ni kuwa toxic player kama Pogba wanaondoka.
Katika moja ya mahojiano yake amesema dressing room ni moja ya kitu cha msingi kwa team kufanya vizuri anaonekana hilo swala analitambua na ni kocha ambaye mwenye misimamo kwa wachezaji ngoja tuone akija UnitedTen hag ni top coach, elite coach, lakini swali la kumuuliza je ataweza kuhandle dressiing room ya united if things are getting worse? Mikel Arteta aliweza, kazi kwake. Ukilose dressing room kama kocha you're fired. Bahati yake ni kuwa toxic player kama Pogba wanaondoka.