Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu shida ni kocha na mashabiki wanaotarajia overnight success.

Van Gaal angevumiliwa project yake sasa hivi ingekua ni kula matunda tu.

Sasa mashabiki wanakuja kuona kwamba wanahitaji rebuild huku muda ukiwa umeenda.
Nyie msiotarajia overnight success endeleeni kumvumilia huyo Arteta wenu na hio project yake ili sisi tusio na uvumilivu tuje tuyaone hayo matunda mtakayoyapata.
 
Nyie msiotarajia overnight success endeleeni kumvumilia huyo Arteta wenu na hio project yake ili sisi tusio na uvumilivu tuje tuyaone hayo matunda mtakayoyapata.
Ningekupa mifano mingi ila nitakua najisumbua. Haujaja kuwekana sawa kwa hoja umekuja kufanya mipasho.

Naona Rangnickelodeon kasema mnahitaji wachezaji wapya 10.
 
Poor coaching- unampangaje takataka kama magwaya.

Pua administration wote takataka. Soon wamiliki wataondoka, automatically management itbadilika. Ten hag kwenye mkataba naye ameweka kipengele cha kwamba na yeye awe na say ya usajili na kujenga timu, wakienda kinyume chake anaondoka

Pua players - mizigo.
Nimesema tatizo "kubwa" sio poor coaching, sijasema hamna tatizo la coaching

Kuhusu management nadhani kuna tatizo lakini sidhani kama ni kubwa kama linavyowekwa, tulitaka Ed aondoke, ameshaondoka, tulitaka kuwe na restructuring hususan kwenye hierarchy ya Man Utd kwenye footballing side ... Murtough na Fletcher (football directing+technical directing) wamekabidhiwa hayo majukumu. Na msimu ukiisha Ralf ataanza majukumu ya Consultancy.

Van Gaal anatulisha Matango pori kwamba Man Utd sio footballing entity, lakini sote tunajua namna Madrid inavyoendeshwa kibiashara na bado ina mafanikio makubwa ndani ya uwanja. ISITOSHE, Van Gaal ametumia zaidi ya pound milioni 350 kusajili, na hiyo hela imetoka wapi? Kwenye upande wa biashara wa klabu.

TATIZO KUBWA NI RECRUITMENT, japo kuna matatizo mengine madogo madogo
 
Hii timu shida ni kocha na mashabiki wanaotarajia overnight success.

Van Gaal angevumiliwa project yake sasa hivi ingekua ni kula matunda tu.

Sasa mashabiki wanakuja kuona kwamba wanahitaji rebuild huku muda ukiwa umeenda.
Van Gaal avumiliwe kwa lipi Mkuu
 
Kamera nayo haikuwa mbali na Harry Maguire....Goli la kwanza la Liverpool
FB_IMG_1650440983106.jpg
 
Mkuu samahani kwa hilo.

Ila ...


utani hua unakubalika na pia facts za ukweli, hakuna shabiki asiyekubali kua kwa sasa hatuna uwezo kisoka na ni sababu lukuki zimesababisha ikiwemo uongozi dhoofu, wachezaji dhoofu wasioipambania timu, ila mtu anafikia hatua anadhihaki hata kiumbe kilichokufa, aise sikuachi ni ujinga, ushabiki gani huo wa kudhihaki hata marehemu tena kachanga
Siku akija kuzika mtoto wake au mama yake au baba yake ndio ataelewa kwanini nimemtukana matusi.
JB nimekuelewa sana tu, na hua naikubali sana michango yako humu jukwaani, hata mimi sikufurahishwa na jinsi alivyo kuattack mkuu ndio maana na yeye nimemfahamisha kiustaraabu kabisa kua alichokifanya sio.
Naomba tuvumiliane na tusameheane mkuu kwa changamoto zozote tunazozipitia.
Najua kwa busara zako na mapenzi yako kwa timu yetu utakua umeelewa kitu gani namaanisha.
We are United Forever.
 
Na tulisema Ole soskjaer ni kocha mbovu kwamba timu yetu inaquality si ya kufungwa hovyo, inakuaje paka sasa mambo bado? Chambuzi shusheni vitu😁
 
View attachment 2194071

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimewaa un follow kwa kila sodho media page zao

Akii Man u they need to rebuild that team siku wakimuiza harry Maguire and wakamvua ile arm band nitawarudia 😫😫😫😫
 
Monchi, Sevilla's sporting director:

"His [Martial's] transfer was cheaper than you think, but it's still a big bet, just six or seven million. Unfortunately, it is difficult to analyse his performance when he was injured and now he is injured again."
[Radio Sevilla via Mail]
Abakie huko huko. RR kaahidi wachezaji wapya si chini ya 10. Waende tu tuanze na damu mpya.. team imeoza hii
 
View attachment 2194071

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo mzuri,tuanze upya kuijenga united kwa watu wanaojua mpira.
 
Back
Top Bottom