Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Tunampa kombe jirani, Liverpool tunamfunga![]()
Labda Liverpool ya Songea
3-0
Tunampa kombe jirani, Liverpool tunamfunga![]()
Bora weweMaguire vs Mwamnyeto nani bora?
Kwa hiyo jamaa ndio kashaanza kazi ya ushauri, wa kukopi na kupaste
4-3-3 ronaldo Anacheza Kushoto akiwa na Midfield mzuri kwenye kupress Nyuma yake (assume mtu kama Fred ni midfield wa kushoto kwenye midfield watatu) na Beki anaejua Kupanda na kushuka kama shaw.Kwa 4-3-3 sasa Ronaldo itakuwaje?![]()
Toka tumsajili Bruno mpaka Kuja Ronaldo tulikuwa Vizuri sana, Kuna kipindi tulikaa wiki 2 juu Kileleni pale, Tulikuwa Comfortably Ndani ya Top 4 na msimu uliopita top 2.Kabla Ronaldo tulikuwa na hali gani?