Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndio hivyo tena RR kashamuanika madhaifu yake.
Nakumbuka kuna game hakukuwa na Cavani wala Ronaldo lakini bado dogo hakupata namba kikosi cha kwanza,ndipo kakaanzisha sera za kuondoka kuwa hana imani na Ralf.
Hii ndio rebuild aliyotuachia Ole akituaminisha kuwa tuko kwenye right direction.
Herera, Rojo over Maguire, kuwaondoa ni ufala.
Tulikua tunawapa Martial, Rashford vichwa vya kijinga.

Ighalo kaja kafanya kweli wakamtreat haiwezekani.

Nikikumbuka inshu ya Romero na Jones yupo yupo anatreatiwa vizuri naumia.

Tuanze kwanza na Overated English players kwa kutowapa maeneo muhimu ya kuchukua attention. Waachie winga na beki za fullbacks basi, viungo na washambuliaji na sehemu nyingine leta mataifa mengine.

Pogba fala sana.

Yote ya yote Pogba kuwa msumbufu ni kutokana na kuwazidi watoto walio kwa kikosi career performance kumfanya ajione faza.

Toa kabisa
 
ushindi lazima leo wanakufa nyingi hawa trust.
Screenshot_20220419-200452.jpg
 
Timu yetu ya hovyo. Leo nimesikitika eti Haaland anaenda Man City..mshahara wa pauni laki 5 kwa wiki. Hio hela tuliomsajili magwaya na wapuuzi wengine bora angeichukua yote Haaland
Bora atimkie zake man city mtaua kipaji chake nyie
 
Kuna mtu anaitwa Thiago Alcantara

Huyu jamaa anampira flani kuonekana wengine mafala tu uwanjani
Yani Mpira wa kunata sana

Mpuuzi anaujua sana huyu, kama haukubahatika kumuona xavi, wewe muangalie huyu mbwa inatosha sana
 
Back
Top Bottom