Kwa mechi ya juzi na Norwich, it is now confirmed kwamba Maguire ni total liability kwa Manchester United na mpo hapo mlipo kwa sababu yake, hawezi kuruka tena utadhani tanki, hawezi kufanya movement yeyote kwenye backline. Mkimfanya kuwa striker inaweza ikamake sense
CB ghali anachezesha matako tu utadhani anacheza mdundiko
Hivi sheria zinasemaje kuhusu kumuadhibu Maguire kwa Red cards kwa uchezaji ule?Mimi najiuliza tu like teke la farasi la Maguire lililompata pogba lilipigwa kwa makusudi au bahati mbaya,hivi urukaji gani ule wa kubetua miguu Kama unapiga sarakasi jamani...
Joh Doe nadhani tumeshabihiana mitizamo na RR kuhusu rebuild labda kama hii MORE alimaanisha kwa misimu zaidi ya mmoja.
Hivi sheria zinasemaje kuhusu kumuadhibu Maguire kwa Red cards kwa uchezaji ule?
Maana ile ni dangerous play au kwa kuwa kamjeruhi mtu wake ndio maana hata njano hakupata yule fala?




Mkuu uwanjani ni ...Jipe moyo, unasema hivyo sababu wewe ni shabiki pekee JF nzima wa Man city, sisi hatuna uwezo wa kuifunga Liverpool, hilo likae kwenye ubongo wako. Liverpool anaanza kushika mkono mmoja wa kikombe cha EPL kuanzia leo...
😂😂 Hakuna haja ya kupima ukimwi wakati unajua kabisa umeme uko nao sambamba.Acha kuongea vitu ambavyo haviwezekaniki, hatuna uwezo huo kwa sasa.
Inawezekana kuleta wachezaji watano na kuondoa wachezaji hata 6 kwa mkupuo.Joh Doe nadhani tumeshabihiana mitizamo na RR kuhusu rebuild labda kama hii MORE alimaanisha kwa misimu zaidi ya mmoja.
Na kuna mahala pia nimeona akisema hakuna ulazima wa kusubiri misimu 3 au zaidi ili kuwa title contenders bali inaweza kufanyika ndani ya misimu 2 pekee.
Huyu ni Ralf Rangnick
Ndio hivyo tena RR kashamuanika madhaifu yake.Pole kwa Ronaldo.
Leo CAVANI hayupo available?
Nakachukia Karashford hadi basi toka enzi za Ole, kanajikutaga staa kakiwa hakana changamoto ya namba.