We are here. Ronaldo anaweza kujipatia hattrick but what UNITED get?
Ronaldo kaja nyakati mbaya, kuongeza mzigo wa usupastaa dressing room, ambayo imeathiriwa na Pogba, then vitoto vya kiingereza.
Kuna midomo ya mapundit. Kelele chetu ili timu ifike mbali tunahitaji kuondoa usupastaa kwanza, kuleta wenye njaa
Ondoa takataka zote za kiingereza, then egos (Pogba, Ronaldo). Maana kupiga sub tatizo malamamiko mengi from both wachezaji na mashabiki wao (like you) tutafika kweli?
We appreciate Ronaldo anachofanya but tunaenda wapi? Unadhani tukinunua mshambuliaji mwingine Ronaldo atakubali kutoa namba, tukileta vijana wenye njaa huku kuna ubinafsi uliokidhiri mbele tutafika kweli? (Kocha hasikiliziki).
ANYWAY TUSIHARIBIANE USHINDI, MUHIMU UNITED IMESHINDA.