D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
simon stone ameripoti taarifa za ten hag kutua klabuni, nimeona subreddit ya reddevils pia wametengeneza special thread ya ten hag.
ukipata muda naomba ujitahidi utuchambulie kuhusu Ten hag mkuu.....japo Aina yake ya uchezajisimon stone ameripoti taarifa za ten hag kutua klabuni, nimeona subreddit ya reddevils pia wametengeneza special thread ya ten hag.
Pact imeisha huko nasikiaWanaume tuko kwenye majukumu tunakipiga uefa uko ..nyie endeleeni kukata viuno apo old Trafford..hahaha![]()
Naona hata skysport wakeriport muda si mrefu.simon stone ameripoti taarifa za ten hag kutua klabuni, nimeona subreddit ya reddevils pia wametengeneza special thread ya ten hag.
Pact imeisha huko nasikia
[/QUOTE
Sikiliza wewe, sisi ndio Chelsea..wazee wa kupindua meza, game bado mapema sana ..hii utopolo yenu inaweza kumfunga Real Madirid?
Njoo Liverpool mkuuHata jamaa aje sijui kwanini sina tena imani na hii timu sina furaha nayo kabisa sasa hivi tushabadilisha makocha sana mambo yale yale dah Manchester nyie.
umebondwa tatu palepale darajaniHii utopolo bado upon? Mods futeni Uzi huu haraka.

Ni Wasaa Wa Donny Van De Beek Kurudi Kuchukua Namba Na Kuanza Kukiwasha Sasa
Kabisa Mkuu DVB Ni Mchezaji Mwenye Team Spirit Haswa Ni Kama Ilivyokuwa Kwa Kiungo Fundi Anayetamani Awepo Kwenye Kila Eneo La Uwanja Ambapo Mpira Utadunda Maestro Ander Herrera Na Si Huyo Tu Kuna Yule Beki Kitasa Wa Kiargentina Aliyekuwa Akitengeneza Partnership Kali Akicheza Na Eric Bailly Alikuwa Na Uwezo Wa Kucheza Namba 3 Na 4 Mtaalam Marcos Rojo... Ole Alituongopea Kutaka Kutuaminisha Scott Ni Bora Kumzidi Herrera Na Kwamba Maguire Na Lindelof Ndio Partnership Bora Kuzidi Ya Eric Na Marcos.Moja ya mchezaji mwenye team spirit akicheza unamuona ni DV Beek. Na nakumbuka dhambi aliyopata Ole gunner solsicher ni kumuachia yule kiungo aliyetimtia PSG(Ander Herrera
Rene Meulensteen would be a good pick, Juan Mata would be a good choice too.Rene meulensteen, steven mcclaren, jaap stam na robin van persie wote waliwahi kufanya kazi ndani ya manchester united. Wawili walikuwa ni makocha na wawili walikuwa ni wachezaji. Ikiwa ten hag atasajiliwa manchester united atahitaji mmoja kati ya hao awe assistant.
Mkuu ulikuwa hufuatilii mpira ?Kabisa Mkuu DVB Ni Mchezaji Mwenye Team Spirit Haswa Ni Kama Ilivyokuwa Kwa Kiungo Fundi Anayetamani Awepo Kwenye Kila Eneo La Uwanja Ambapo Mpira Utadunda Maestro Ander Herrera Na Si Huyo Tu Kuna Yule Beki Kitasa Wa Kiargentina Aliyekuwa Akitengeneza Partnership Kali Akicheza Na Eric Bailly Alikuwa Na Uwezo Wa Kucheza Namba 3 Na 4 Mtaalam Marcos Rojo... Ole Alituongopea Kutaka Kutuaminisha Scott Ni Bora Kumzidi Herrera Na Kwamba Maguire Na Lindelof Ndio Partnership Bora Kuzidi Ya Eric Na Marcos.
Aaah! Mkuu Iyo Kusema Mechi Mbili Tu Tayari Mmoja Anaumia Ni Uongo Kabisa Iyo Partnership Mimi Nimeishuhudia Zaidi Ya Mechi Tisa Wakicheza Mfululizo Na Timu Iliruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa...Labda Kama Wewe Ndo Ulikuwa Hufuatilii.Mkuu ulikuwa hufuatilii mpira ?
Marco's Rojo na Eric Bailly hawakuwahi kucheza mechi mbili mfululizo bila kupata injury.
Unapokuwa na wachezaji tegemeo kikosini kwako wenye rekodi hiyo unategemea kuwa na kikosi shindani ?
Ole alifanya kosa kutomuuza Bailly na kutafuta beki mwingine mzuri pengine angekuja kuziba pengo la Maguire hata kumsajili Varane it was a mistake.
Manchester msimu wetu wa 2021/2021 tumeua kwa mikono yetu wenyewe kwa kufanya usajili ambao haukuwa na tija yoyote uwanjani.
Taja msimu ambao hao wachezaji wamewahi kucheza mfululizo hata mechi mbili tu na mimi niangalie.Aaah! Mkuu Iyo Kusema Mechi Mbili Tu Tayari Mmoja Anaumia Ni Uongo Kabisa Iyo Partnership Mimi Nimeishuhudia Zaidi Ya Mechi Tisa Wakicheza Mfululizo Na Timu Iliruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa...Labda Kama Wewe Ndo Ulikuwa Hufuatilii.
Kipimo cha mechi tisa tu kinatosha kusema hii ni best partnership mkuu?Aaah! Mkuu Iyo Kusema Mechi Mbili Tu Tayari Mmoja Anaumia Ni Uongo Kabisa Iyo Partnership Mimi Nimeishuhudia Zaidi Ya Mechi Tisa Wakicheza Mfululizo Na Timu Iliruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa...Labda Kama Wewe Ndo Ulikuwa Hufuatilii.