Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata Kama Ni Mechi Chache Lakini Sidhani Partnership Ya Maguire Na Lindelof Ikicheza Izo Mechi Tisa Mfululizo Ina Huo Uwezo Wa Kuruhusu Magoli Matatu Tu Ya Kufungwa.
Tumecheza mechi 11 tukafungwa Goli 2 tu msimu wa 2019/2020 baina ya January na March tena tukicheza baadhi ya mechi ngumu kama Man City mara 2, Chelsea mara 1, wolves mara 1.

At that time Matic Karudi toka Majeruhi yupo on Form Vibaya Mno.
 
Discussions are progressing now about the project, long-term plans, new signings, summer budget and club structure. Ten Hag wants full clarity on Man United plans.

Nimependa hii sentesi. Kocha mpya atarajiwae anataka mipango kama yote ya miaka inayokuja, board wamuekee na yeye aridhie mipango hio na aweke mahitaji yake kwenye mkataba
Nmependa sababu hapa itazuia wajinga wajinga akina ferguson na wenzake na DNA zao za kipuuzi, kuingilia ovyo au kua na say kwenye umanager wake na ufundishaji wake na kutaka kwake wachezaji wapya, hata kama mchezaji anapendwa vipi kama ni mzembe hana faida kwenye timu aondolewe , waje wengine watakaoipambania timu.

Labda hapa tunaweza kuanza kupambania nafasi ya nne au hata ya tatu misimu ijayo, lakin si kuchukua kombe lolote..wamiliki wale wapuuzi watakapoondoka na kuja wengine haswa waarabu wenye pesa zao na wenye uchungu na walichokipenda na kukinunua, basi labda man utd ndio tunaweza kubeba hata kombe moja la ligi kuu au FA ..ndio yatafuata uefa na mengineyo..
Umemkosea sana Mzee fergie Aisee. Kama Fergie angekuwa anasikilizwa Club isingekuwepo hapa.

-LVG anacheza mpira wa Possession,
-Mou anapaki Bus na physical striker (players)
-ole anapaki bus na fast Counter attacking system
-Ragnick mzee kwa kupress na fast Build up

Hakuna hata kocha mmoja hapo anaecheza kama Fergie hapo, na hakuna hata Kocha mmoja alieletwa na Fergie,
 
Mabingwa wa DUNIA nzima
IMG-20220212-WA0047.jpeg
 
Discussions are progressing now about the project, long-term plans, new signings, summer budget and club structure. Ten Hag wants full clarity on Man United plans.

Nimependa hii sentesi. Kocha mpya atarajiwae anataka mipango kama yote ya miaka inayokuja, board wamuekee na yeye aridhie mipango hio na aweke mahitaji yake kwenye mkataba
Nmependa sababu hapa itazuia wajinga wajinga akina ferguson na wenzake na DNA zao za kipuuzi, kuingilia ovyo au kua na say kwenye umanager wake na ufundishaji wake na kutaka kwake wachezaji wapya, hata kama mchezaji anapendwa vipi kama ni mzembe hana faida kwenye timu aondolewe , waje wengine watakaoipambania timu.

Labda hapa tunaweza kuanza kupambania nafasi ya nne au hata ya tatu misimu ijayo, lakin si kuchukua kombe lolote..wamiliki wale wapuuzi watakapoondoka na kuja wengine haswa waarabu wenye pesa zao na wenye uchungu na walichokipenda na kukinunua, basi labda man utd ndio tunaweza kubeba hata kombe moja la ligi kuu au FA ..ndio yatafuata uefa na mengineyo..
Astagafirulah Leo Mzee Ferguson amekuwa mjingamjinga

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Oyaa ERIC TEN HAG anatuletea nn na ana falsafa gani ya kiuchezaji....wazee wa soka tupeni madini.
 
Back
Top Bottom