Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani watu wamepata uzuni kwakweli kwa kutoiona hii timu uwanjani siku ya happy imefika

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.

Prediction= Everton 1 Manchester united 4
20220405_060904.jpg
 
Kitu pekee cha maana tutakachofanya na kujivunia msimu wa 2021/2022 ni kukamilisha usajili wa ETH tu.
 
Yani watu wamepata uzuni kwakweli kwa kutoiona hii timu uwanjani siku ya happy imefika

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.

Prediction= Everton 1 Manchester united 4View attachment 2181294
Mwezi kama huu 2019 walitufunga 4 - 0 ilikuwa game ya 15:30 siziamini kabisa early kick off.

Leo ushindi ni lazima.
 
Kwetu ligi iliisha hata kabla haijaanza baada ya kuona Ole anaridhishwa na kikosi chake chenye midfields ya McFred pamoja na Matic na mjinga wa haircuts.
 
Everton wanategemea kuwin 1st & 2nd balls kutengeneza settled play ili kusustain pressure wakati hawapo compact so wanashindwa kuwin medfield duels na sio wazuri kucounterpress, Lampard angeweza kuplay out from the back kubypass United's blocks ili kupata settled possession ila ninavyoiona Everton ni timu mbovu na inastahili kushuka daraja, haina technicians wazuri hata kufanya build up sasa sijui watafungaje goli, wanasajili majina badala uwezo. Hii game kitachowabeba ni mentality ila technically they are so low.
 
Lampard anacheza 4 3 3 ila hana wachezaji wa kumaintaimln hiyo formation

Hata hivyo Everton ni jungu kuu
 
Back
Top Bottom