Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,544
- 2,999
Nyie ni wa....







😅😅😅😅😅Everton wameshapata Goal lao moja.
Zinasubiriwa nne za kwenu.
Dah!Everton wameshapata Goal lao moja.
Zinasubiriwa nne za kwenu.
Hii game Everton wameweka intensity kubwa mno, inanikumbusha game ya Arsenal vs Brighton 1st round. Game ni mental zaidi, kama United wakiwa passive mentally wanapoteza hii mechi.
Hongera kwa ushindi😆leo mun anashinda zaidi ya goli 3
Leo inatakiwa tushinde ili OllaChuga Oc aendelee kujificha huko huko kwa rikiboy
sawaleo mun anashinda zaidi ya goli 3
Yani watu wamepata uzuni kwakweli kwa kutoiona hii timu uwanjani siku ya happy imefika
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
Prediction= Everton 1 Manchester united 4View attachment 2181294
Mbona huu ni mwaka wa nane, wameshazoea hali hiiMaisha yanakwenda kasi sana, Utd imekuwa ni timu ya kichovu sana
We kweli kitombiseleo mun anashinda zaidi ya goli 3
