anayatafutaga Sana,sema nyie mnamusema ni mbinafsi.Mnataka awe kama Bernardo Silva mi assist shazii migoli michache
Trust the process





Ukiangalia vzr aliyekuwa anacheza ni kocha sio wachezaji.Zamani ndiyo kulikuwa na wachezaji, wanatisha sana. Siku hizi madogo wanashiba sifa zinawalewesha.
Kwani kina Scholes wana uwezo wa kufanya maamuzi gani pale United ?wale wakina paul scholes ndio wanaoyumbisha timu kwa taarabu zao huyu hamtak konte yule anamtaka mara uwanja ujengwe timu zingine hawanaga midomo kocha anafanya kazi yake
Hizi wiki mbili dunia imeishi kwa shida sana, watu hawana furaha kabisa.Siku ya furaha ni kesho wakuu msinune kwa kukosa furaha kitambo najua mlimisi ku enjoy.
Mafanikio makubwa kabisa ya Van Gaal yalikuwa 2003 kuchukua champions league na Barcelona baada ya hapo ilikuwa 2010 kufika finali ya UEFA na Bayern baada ya kukaa na timu kwa miaka 6 kama sikosei usahihi wa Van Gaal kwa United ni upi ?Kwa suala la LvG naweza kusema ni uingizaji wa falsafa zake ndani ya timu ndio ilikuwa shida na hii ilihitaji muda zaidi pamoja na machaguo yake namba moja kama ulivyosema hapo.
Kwa mou nadhani aliangushwa na wale watu wa UNITED DNA and THE FERGIE WAY ingawa pia huwezi kuacha ukweli kwamba klabu ilianza kujiendesha kibiashara zaidi kwa kuwategemea wachezaji wenye mvuto kibiashara,hivyo locker room ikawa ngumu kwake.
Kati ya wote waliopita,nadhani mtu sahihi zaidi alikuwa LvG kama angepewa muda na vitendea kazi sahihi.
dahkwakweli tumepitia kipindi kigumu kweri kweri kukosekana kwa Manchester kutoonekana uwanjani watu wameishi kwa tabu sana hizi wiki 2 tuachane na ilo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha.
Manchester 3 Leicester 1
Hii utopolo bado upon? Mods futeni Uzi huu haraka.
Ila we jamaa unawashwa sana yani uzi wenu wa man shit una siku 2 ujachangiwa uko kuwashwa huku wataka kukunwa yakhe.Hakuna kocha anayetamani ku manage hiii timu Tena ,nan aje kwenye mid table timu ...mtazidi kupata average manager mpaka...