D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
laurie whitewill ameandika(huyu ni tier 1 kwa taarifa za man utd): klabu imepanga kusajili wachezaji wanne kupitia maeneo tofauti. (1) viungo wawili, mmoja ni eneo la ulinzi na mwengine ushambuliaji (2) winga wa kulia, teh teh teh (3) mshambuliaji na kipaombele kikuu ni harry kane bila ya kujali kocha ajaye, mazungumzo ya usajili wake yalifanywa kati ya ed woodward na daniel levy msimu uliopita. gharama za usajili wake itakuwa ni paundi million 100 au zaidi. kama dili litashindikana ndipo wataangalia mshambuliaji mwengine kama vile nunez wa benfica anayegombaniwa zaidi na arsenal.(4) jorge mendez yupo kwenye mchakato wa kutafuta mshambuliaji mbadala wa harry kane kwa timu ya ..... (5) usajili wa kane pia utategemea na mipango ya man city wanaomgombania haaland au kane. fuentte hiyo namba tatu umeisoma vizuri?



.
ni mbinafsi.