Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wameshinda big match Leo kwa comeback Ajax 3 fayernood 2.....

Poch alizidiwa Sana game na Madrid, pia tactically 4-4-2 low block aliyotumia game ya leo na game kadhaa nyuma inaonesha ni defensive coach....

Pia tetesi sijui Senior players wanamtaka Poch, na Fergie nae aliishaweka wazi anamuadmire Poch

Iwe sababu ya kuachana na Poch maana hao wachezaji wenyewe hawana cha kuonekana walichofanya Kwa mwaka wa 5 huu licha ya mishahara yao alafu Leo nakocha wajichagulie pia Fergie tulimsikuliza Kwa Moyes na probably Ole, ona kilichotukuta.

Nitaenda na Ten hag, licha ya kuwa Poch sio mbaya kama inavyoonekana
Huu mpira wa cku hizi kwakweli umeshuka sn, eti Rashford, Maguire, Wan Bissaka, wanacheza utd, Elanga anaanza kikosi cha utd tena big matches, eti Pochetino anatakiwa awe kocha utd, huu mpira wa ss pesa nyingi viwango hamna, hamna smart players wa kuuadabisha mpira, yn imekuwa tafrani kabisa.

Mara cjui gengen pressing, mara cjui diamond yn uongo umekuwa mwingi, kila mtu kocha lkn kiukweli mpira umeshuka kwa ss, hakuna ladha kabisa ya soka tunaangalia kwa mazoea tu tufanyeje but science zimekuwa nyingi mpk vipaji vinapotea.
 
Barcelona ni wachezaji ni walewale alio waacha Koeman,Aliongeza wachezaji wachache tu anao wahitaji.Lakini Sasa anapata matokeo tofauti na aliyo kuwa akipata Koeman.

Shida ilikuwa ni wachezaji au shida ilikuwa ni Koeman au shida ilikuwa ni management au shida ilikuwa board au shida ilikuwa ni Nini???

Vipi Kwa manchester UTD shida ni nini?? Wachezaji walewale Kocha akadai wanamtosha Hana haja ya kuongeza MTU LAKINI anae taka kuondoka mlango uko wazi,Je.Kwenye kupata matokeo shida ni nini??
 
In October, Man United & Barcelona were in turmoil. Barca appointed first choice coach, signed the 4 players he demanded & are transformed. Utd appointed a sporting director as interim, signed nobody & have a squad of players wanting to leave. A lesson in leadership there
 
Matatizo ya Barca yalisababishwa na Raisi aliyepita Pep Batromeu kufanya usajili mbovu (Coutinho,Dembele,Griezmann) ,kusajili makocha wasiofit kwenye utamaduni wao na kuharibu wage structure ,solution ya kwanza ilikuwa ni kuondoka kwa Batromeu na kuja kwa Juan Laporta ambaye huko nyuma alikuwa Raisi na kumpa timu Guardiola na kuleta mafanikio makubwa

Same story matatizo ya United yanaanzia juu kwenye uongozi mpaka leo hawajajua tatizo ni nini as long as still team ina-generate revenue ya kutosha
 
Huu mpira wa cku hizi kwakweli umeshuka sn, eti Rashford, Maguire, Wan Bissaka, wanacheza utd, Elanga anaanza kikosi cha utd tena big matches, eti Pochetino anatakiwa awe kocha utd, huu mpira wa ss pesa nyingi viwango hamna, hamna smart players wa kuuadabisha mpira, yn imekuwa tafrani kabisa.

Mara cjui gengen pressing, mara cjui diamond yn uongo umekuwa mwingi, kila mtu kocha lkn kiukweli mpira umeshuka kwa ss, hakuna ladha kabisa ya soka tunaangalia kwa mazoea tu tufanyeje but science zimekuwa nyingi mpk vipaji vinapotea.
United standards zimeshuka sana.
 
In October, Man United & Barcelona were in turmoil. Barca appointed first choice coach, signed the 4 players he demanded & are transformed. Utd appointed a sporting director as interim, signed nobody & have a squad of players wanting to leave. A lesson in leadership there
Barcelona wanajua wanataka nini na siyo timu inayoendeshwa kwa mihemko. Tayari wana mifumo yao ambayo ni muongozo kwa kila kocha anayeenda pale.

Manchester United ni timu ambayo tangu Fergie kaondoka hawana identity wanacheza soka la aina gani. Barcelona wanajulikana ni timu ya aina gani hata wakitafuta kocha hawawezi kumchukua Mourinho maana ha-fit kwenye style yao ya uchezaji. United pamejaa wachezaji wa kila kocha na mfumo wake hakuna timu inaweza kutengenezwa pale.
 
wale wakina paul scholes ndio wanaoyumbisha timu kwa taarabu zao huyu hamtak konte yule anamtaka mara uwanja ujengwe timu zingine hawanaga midomo kocha anafanya kazi yake
 
Nyumbuzi mnavyojadiliana maswala ya soka kama mnaakili timamu hivi

Sasa akija pochetino ndio mtakua mmefanya nini??
Kama wachezaji ni wale wale, uongoz ni ule ule
Na wapiga midogo pundits wanasikilizwa

By the way nawaombea mabaya, ndio maana nataka kuona pochetino akitua pale
Alafu board ibaki vile vile
 
Barcelona wanajua wanataka nini na siyo timu inayoendeshwa kwa mihemko. Tayari wana mifumo yao ambayo ni muongozo kwa kila kocha anayeenda pale.

Manchester United ni timu ambayo tangu Fergie kaondoka hawana identity wanacheza soka la aina gani. Barcelona wanajulikana ni timu ya aina gani hata wakitafuta kocha hawawezi kumchukua Mourinho maana ha-fit kwenye style yao ya uchezaji. United pamejaa wachezaji wa kila kocha na mfumo wake hakuna timu inaweza kutengenezwa pale.
In October, Man United & Barcelona were in turmoil. Barca appointed first choice coach, signed the 4 players he demanded & are transformed. Utd appointed a sporting director as interim, signed nobody & have a squad of players wanting to leave. A lesson in leadership there
Chengine mnachokisahau Ligi ya spain haina Ushindani hasa mwaka huu, ku recover kule ni rahisi kuliko ku recover Epl.
 
Hata ukisema ligi ina ushindani lakn ss hatuna mipango angalia wachezaji waliopo bench tu hakuna hata mmoja wa kubadiki matokeo yaan lingard, mata, Phil Jones, matic na wengine ni wachezaji ambao hawatumiki zaid ya kujaza squad tafaut na timu zingine zenye mafanikio....angalia ss msimu uliopita tulikuwa tunajua tatizo letu ni kiungo uwanjan pamoja na beki ya kulia lakin tumeishia kusajili beki ya kati foadi na winga zenye majina ki financial ni sawa lakn kimatokeo uwanjani n hola hadi sasa tunajuone utopolo
 
Matic? Hapana aisee, hatuna midfielder kama Matic man U, the reason Spurs Kafa 3 ni sababu ya Matic, kaangalie replay Vizuri.

Na tuna kikosi kikubwa tu, hasa huko mbele, Tunaanza msimu na hawa, Ronaldo, Rashford, Sancho, Cavani, Martial, Greenwood. Hao ni wachezaji 6 quality ya Epl then Baadae akaja Elanga. Wote wanagombania nafasi 3 za mbele.

Tatizo letu toka Msimu haujaanza ilikuwa ni kiungo mkabaji Replacement ya Huyo Matic, Matic hawezi cheza mechi zote umri umemtupa, Timu ilikuwa inatafuta Kiungo mkabaji ambaye yupo Comfortable na mpira anapiga pasi vizuri na anajua counter press. Na mpaka Leo tatizo linaendelea tunabaki tu kutafuta Ng'ombe wa kafara.
 
Ebu niambie sub ambayo ina impact kubadli matokeo pale man u?
 
Hivi mkuu unajua kama Man U ndio inaongoza Epl kwa Magoli ya Sub? So far tuna Magoli 10 toka Sub.

Cavani Sub nzuri sana Ametuokoa Mechi nyingi, Rashford ana Goli 4 as sub msimu huu,

Ngoja nikupe impact ya sub zetu
1. Mechi ya leeds tulikuwa 2-2 akaingia elanga na Fred wote wakafunga.
2.cavani alisawazisha mechi na Newcastle
3. Rashford Goli la ushindi vs Burnley
4. Rashford goli la ushindi vs Brentford
5.rashford alisawazisha vs Leicester (wakatuongeza mechi tulifungwa)
6. Rashford vs Spurs kipindi cha ole
7.lingard vs West had goli la mwishoni kabisa mwanzo wa msimu
8.lingard vs Newcastle Ronaldo Debut mwanzo wa msimu.

HApo kuna Mechi 4 tumeshinda As a Sub, na Mechi 1 kudraw, mechi 1 tu ndio sub zilileta impact then tukafungwa, mechi nyengine Sub ziliongeza idadi ya magoli.

Point 13 hizo as a sub si ndogo mkuu.

Hapo bado Assist na Contribution nyengine za Sub.
 
B63FD8D4-8FFE-481B-8148-CE4D0F52125B.jpeg
C428D79E-D513-4B22-A7F2-F6823A1F238F.jpeg
9D8D5410-4008-4A86-B347-0BF7AC80CE61.jpeg
DC037683-9991-4B72-AA69-3DC40852A18C.jpeg
F1EA4D29-0575-41FB-BB3E-EDDFD2DFA5FA.jpeg
645626B5-C4BF-4BE4-B373-69AF2FE53010.jpeg
 
Back
Top Bottom